Huyu ndiyo Zitto ninayemjua

Huyu ndiyo Zitto ninayemjua

Kama mastaa wa siku ya leo bungeni....
Nambari 1. Wassira....aliposema heshima na msingi uliojengwa Baba wa Taifa Mwal. Nyerere na Mwana Mapinduzi Sheikh Karume utalindwa na Watanzania na si Vyama.
Nambari 2. Antipas Tundu Lissu...aliposema Mwalimu hakuwa Mungu, alikosea na alipenda kukoselewa na alikiri kila ilipobidi, yeye na wengine hawamtukani bali kukosoa baadhi ya maamuzi yanayothibitika kukosewa kama mwanadamu.
Nambari 3. Bernard Membe alipotoa mfano wa Shirikisho la Ujerumani lenye full mandate ya uchumi na pia kuweka wazi ujio sa Tanganyika yenye mandate kiuchumi ni kumuua Tanzania.

Ujenzi wa hoja bila kumung'unya ndio ujenzi wa Nchi.
 
He is not an ideological fanatic like many of you would expect him to be,He is an independent and free thinker something which many of you are not familiar with but it's a normal thing in the advanced and civilized world.

free thinker!! manake hata wewe hujajua yko upande gan? amepangua hoja za upande wa pili(ccm) kwa kuonesha udhaifu wa hoja ya gharama
 
Zitto alishaweka msimamo wake. Ni muhumini wa serikali 3. Tafuta The Citizen ya Jumapili tarehe 6 April 2014 aliandika makala ndefu na kuweka msimamo wa serikali 3. Haina Shaka Zitto ni intelligent sana na ana uwezo wa kujenga hoja ila tatizo ni kutokuwa na subira yaani Patience. Rais Museveni anasifika sana kwa kuwa mtu wa Subira sana. Hakurupuki hata maasimu wake kama Besigye wanamsifu kwa kuwa na "patience" ya hali ya juu ndio maana alifanikiwa katika vita ya msituni. Hata Zitto hasikurupuke kuingia vyama vingine. Aganganie Chadema iko siku ataeleweka. Zitto ni mtu muhImu katika mchakato wa katiba mpya. HASITUANGUSHE KAMANDA HUYU.
 
Zitto anaweza kuchambua mambo na pia kujenga hoja lakini anatatizo la kuwa mtu asiyeaminika na usaliti anapohisi kuna maslahi yake binafsi
Anyway ana muda mwingi wa kujirekebisha ni mtu ambaye yuko FLEXIBLE!!!!
 
Zitto akikua akaacha kutokueleweka, atakuja kuwa mwanasiasa mzuri atakayeaminiwa. Anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja vizuri kimantiki, na pia anauwezo mzuri wa kusaliti.
Ha ha ha ha aha h .....!!!
 
Zitto siku zote anaamini katika serikali 3 sio nchi 3 kama baadhi ya watu ambao wanasikiliza lakini hawawi makini kwa sababu ya ushabiki.
 
Zitto ni makini sana nimependa hoja zake sn anajuwa kujengs hoja tofauti na hamad rashid yeye uccm wake hafichi
 
lengo lazitto ni kuwa na serikali3.isipoku ztto hujikweza kutoka na kukubalika na watu wengi
 
Zitto alishaweka msimamo wake. Ni muhumini wa serikali 3. Tafuta The Citizen ya Jumapili tarehe 6 April 2014 aliandika makala ndefu na kuweka msimamo wa serikali 3. Haina Shaka Zitto ni intelligent sana na ana uwezo wa kujenga hoja ila tatizo ni kutokuwa na subira yaani Patience. Rais Museveni anasifika sana kwa kuwa mtu wa Subira sana. Hakurupuki hata maasimu wake kama Besigye wanamsifu kwa kuwa na "patience" ya hali ya juu ndio maana alifanikiwa katika vita ya msituni. Hata Zitto hasikurupuke kuingia vyama vingine. Aganganie Chadema iko siku ataeleweka. Zitto ni mtu muhImu katika mchakato wa katiba mpya. HASITUANGUSHE KAMANDA HUYU.

Kesha anzisha chama chake kinaitwa ACT
 
Nilivyo muelewa mm ni muungano wa maridhiano na kuaminiana. Haijalishi ni serikali ngapi ingawa alitoa ufafanuzi wa serikali 3 jinsi gani zinavyo weza kuendeshwa akijaribu kujibu hoja zawajumbe wasio amini muundo wa serikali 3. Zaidi amejenga hoja mpya hoja ya kuridhiana bila kujali 1,2,3 au zaidi.
 
Upande ndiyo nini sasa? Kuna watu wanajenga hoja kushawishi mfumo bora psi kujali idadi ya serikali
 
He is not an ideological fanatic like many of you would expect him to be,He is an independent and free thinker something which many of you are not familiar with but it's a normal thing in the advanced and civilized world.

Well said!
 
Back
Top Bottom