Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

Anna_Lupembe.jpg


mwingine huyu hapa na bi Lupembe
huyu anataka kurukia kabisa
 
This is how their brain work too na solutions za uchumi na maendeleo si tunaziona Tanzania?
 
CCM wengi wao ni wapenda ngono ndio maana akina Rostam wanaweza kuichezea nchi huku wengine wakifikiria ngono usiku kucha, lakini wajue umri unakwenda mtaondoka tuu
 
wana JK yeyote mwenye taarifa ya kiasi gani Rostam huchangia kwenye uchaguzi kwa ccm nataka kujua
 
Naona Tanzania na laana tupu! Hawa wazee wa Hugo bar akiwemo na Msafiri mwenyewe wanaleta laana kwa kila maamuzi ya utawala wao. Kwa upuuzi huu,jamaa hawatai asikie nkimwita mh. Au alhaj Kapuya,ntamwita bwn Kapuya,mpuuzi na mtovu wa maadili. Kwa heri alhaj.
 
Mnashangaaa sasa hivi Mbona mwaka Jana Mwezi wa Sita tulikuwa tunacheza naye Akudo pale Jeshi Msasani Club ma Vibinti Kibao anakuwaga na Vijizi vikina Mwopao, Ndama Mtoto wa Ngombe, Predeshe Papa Msofe pamoja na vijana wengine Makuadi wa wasichana na wake za watu, mze huyu Gazeti la Ijumaa lilikuwa linamlinda akiwa waziri sasa katemwa eti ndio wanampiga picha namshangaa Eric Shigo... kwa kumuandika leo hii. Mimi nishaacha kwenda Miziki sijui yeye anaendelea maana kesho natimiza 39 kamili

mkuu najua unafika 39 tar3. Je kuna keki nifunge safari? Leo ntakuja mpaka ofsini kwako ili nijue wapi tutaenda kuimba -happybethidei to you,how old are you now!*4 alaf kata keki tule.!
 
komba uchu umezidi..hao ndo waheshimiwa,bunge likistop ijumaa wao ni starehe mtindo mmoja wala hawakai kujisomea hotuba na kupanga hoja za next week
Ndio maana wabunge makini kama alivyokuwa Dr Slaa na wengineo walikuwa wanawagaragaza kwa vile muda huo wanafanya ufuska wao wenzao wanafanya tafiti mbalimbali kwa manufaa ya waliowapa dhamana hiyo.
Hata hivyo tatizo ni letu kwa vile tunawajua tabia zao na uwezo ila wakirudi kutuzuga tunawapa kura tena.
 
Huyu ndiye Waziri (Sijui kama bado Waziri) katika serikali yetu. Dowans, matokeo mabaya ya F4 na matatizo kibao ya nchi, lakini jamaa anahangaika na vibinti. Hata kama ni muda wake binafsi na hata kama ni maisha yake binafsi nadhani huu sio muda mwafaka kwani kuna kilio kila mahala kutoka kwa wananchi wa nchi hii. Shame!!!!!

Mwacheni mzee watu ajilie vitu vyake, wewe umezuiwa kwani ?
 
Back
Top Bottom