Huyu ndiye Waitara aliyeikimbia CHADEMA

Huyu ndiye Waitara aliyeikimbia CHADEMA

Kumbe ndo yule jamaa aliyegombea ubunge Tarime akabwagwa chini mwaka 2010,


huyo jamaa ni mwirege jirani yake na Nyambari Nyangwine huko Tarime.
Angeshinda kama wasingegawana kura na wa Cuf,ni opportunity mkubwa,amekuja kugombea uenyekiti akishapata uwaziri.
 
Hili jamaa ni pandikizi kitambo.Nilikuwepo kipindi kile cha uchaguzi,Rizmoko na Jerry slaa walikuwa wanajaribu kumuhonga aachie jimbo.Bila wakurya wa ukonga kutishia kuichoma nyumba yake alishakubali!
True tunaikumbuka scenario hio,ila Jamaa ni ngangari Bila kumkwida msimamizi wa matokeo asibadilishe matokeo kwa msaada wa wakurya angeliwa kichwa.
 
True tunaikumbuka scenario hio,ila Jamaa ni ngangari Bila kumkwida msimamizi wa matokeo asibadilishe matokeo kwa msaada wa wakurya angeliwa kichwa.
ndio maana alikaa kwanza na wazee wa kikurya
 
Sijisumbui tena kupanga foleni kupiga kura *****
Hata ukipanga kwa tume na katiba hii,ni bure washindi tayari wanao,maana sanduku La kura haliamui mshindi. Ripot ya twaweza ni sahihi wengi wamefunjika moyo na kurudi nyuma kuhusu mambo ya siasa wameona sawa tu kila MTU apambane kivyake,kuliko kupangishwa foleni juani kutafutia chakula wengine. Hali ya siasa si wengi watashiriki kwenda kupiga kura chaguzi zijazo.
 
ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! long live CHADEMA!
 
Hivi CCM 2020 mgombea urais anapitia mchakato wa kugombea ugombea urais na upinzani wa ndani ya chama au Magufuli anapitishwa moja kwa moja "bila kupingwa" ?
 
Ogopa sana chama ambacho asilimia 90 ya viongozi wake ni ndugu, yani chama kimegeuzwa "FAMILY BUSINESS". Wakipewa nchi hawa ni hatari sana.
Kipi ambacho si Mali ya MTU binafsi, au chenye demokrasia,hapa nchini.
 
Pamoja na Kuhama chadema hawakufanya vetting ya kutosha. Inaonyesha Jamaa ni chavi kitambo sana

Huo ubunge wanaosema alishindwa Tarime kwa kura 730 na Nyambari Nyangwine ,hakushindwa bali alicheza dili kuuza ubunge.

Hata huo wa Ukonga alitaka kufanya vivyo hivyo kwa kuuza ushindi kwa mil 300,Riz moko akiwa mwezeshaji mkuu,lakini wakurya wakamtishia akaogopa.
 
Tutasikia mengi
Yanayo yanafurahisha fursa imeshatokea wenye meno wanaitumia, Wengi tu wako njiani moja,mmoja ashasema kabla ya 2019 chochote chaweza tokea na alishawahi kuwa listing.Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai,uzalendo ulienda na Nyerere.Kukubalika kwa ccm ni pale itakopogusa basic needs za wanyonge, Zaid zingine ni drama.
 
Aaah hapana kwa fasihi tu.Hata huku mitaani huwa hawamsemi mtu akiwepo ni baada ya kuondoka.Siasa sio static mwanasiasa uenda na upepo wa wakati husika,pale dhamira yake inapoguswa.
 
Aaah hapana kwa fasihi tu.Hata huku mitaani huwa hawamsemi mtu akiwepo ni baada ya kuondoka.Siasa sio static mwanasiasa uenda na upepo wa wakati husika,pale dhamira yake inapoguswa.
IMG_20180730_123843.jpg
 
Kipi ambacho si Mali ya MTU binafsi, au chenye demokrasia,hapa nchini.
Sawa mkuu, hao hawana hadhi tena ya kuongoza taifa. Ni bora hawa ambao makabila yote yamo chamani japo sio kwamba hawana madhaifu sio hawa ambao ni jamii moja na ubinafsi wao ndio tuwape nchi. Nasema haitatokea.
 
Back
Top Bottom