Huyu ndiye Waitara aliyeikimbia CHADEMA

Huyu ndiye Waitara aliyeikimbia CHADEMA

Usaliti ni laana
FB_IMG_1531378629512.jpg
 
Hili jamaa ni pandikizi kitambo.Nilikuwepo kipindi kile cha uchaguzi,Rizmoko na Jerry slaa walikuwa wanajaribu kumuhonga aachie jimbo.Bila wakurya wa ukonga kutishia kuichoma nyumba yake alishakubali!
 
kwa nini??? kwani alizaliwa na CHADEMA???
Swala sio chadema au CCM .Swala hapa ni wananchi waliompa ridhaa ya kuongoza na yeye kuwasaliti akiwemo Mimi.Halafu kwenye vikao vya kampeni wananchi walikuwa wanachangishana kumsapoti alikuwa hana hata ndururu.Kwa mantiki hiyo anataka na Mimi nirudi Dar kupiga kuradar wakati nimesafiri Niko mbali.Huyu mkurya ni poyoyo kabisa sijui kala maharage ya wapi!
 
Last edited:
Maelezo mareeefu kumbe hovyoooooo nfyuuuuuuuuuuuui!
 
Nikukosoe kidogo: sema hivi, "kwa nini waliteua....."

Hata mke aweza kugeuka malaya hasa anapopenyezewa ngawira, ogopa mtu anayetanguliza tumbo lake, hata mwanao anaweza kukusaliti, halafu utakuja hapa unauliza tena, kwa nini ulimzaa kama ulijua atakusaliti! Think big!
Wed ovu ze dei
 
Back
Top Bottom