Tatigha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,952
- 2,033
Hii picha ya mwaka gani??
Hii picha ya mwaka gani??
Ninakupenda sana Neema.hahahahah
tata muraMang'ana gasarikire tata
SAWA ILA SI SAWA!!!!usiwe na hasira sana hiyo ndio demokrasia
Kwaiyo wandengereko tumefanyaje mkuu?'Wakurya wana Msimamo Sio Kama Hawa Wandengereko kina Maulidi Mtulya'- Great Thinkers uchwara wa JF
Hivi unafikiri kwa kutumia nini? kwani alichofanya hiyo mkuria wako na mndengereko wetu tofauti yao nini? Au ubwege wa kusifia mwanya wakati ni pengo?'Wakurya wana Msimamo Sio Kama Hawa Wandengereko kina Maulidi Mtulya'- Great Thinkers uchwara wa JF
Hivi unafikiri kwa kutumia nini? kwani alichofanya hiyo mkuria wako na mndengereko wetu tofauti yao nini? Au ubwege wa kusifia mwanya wakati ni pengo?
Kwani angeamua kujinyonga mungafanyaje????Hata kama maamuzi yakipuuzi?Kwa hiyo hata kama angeamua kujinyonga kwa sababu wewe kwako ni sawa tu!
Hahah akili za buku saba hizi siwezi tamani kwa njia ya usalitiUmeandika nini hiki! Kwani upinzani hautamani kushika dola? Wewe binafsi hutamani yaliyo mazuri!