suala sio kuongea kila wakati ila mambo ya msingi ni muhimu kutoa msimamooo ueleweke..kiongozi kuongea ongea hakuna maana kuwa ni mtendaji mzuri. Naweza kuongea mengi lakini uteelezaji 0, anaweza akawa kimya kabisa lakini uongozi wake na utendaji wake ukawa unaonekana wazi kabisa. Nani anaongea kama makamba hapa tz, utendaji wake je?
Ni lazima kuangalia jinsi wanavyodeliver bila kujali wanayoongea.
Nani anafaa? Hao wapinzani ndio mdebwedo kama askari wala urojo. Mara hamsini huyo Kikwete kuliko wapinzani walio lala doro.
Eti Bubu umesema wapinzani waungane! Halafu nani amwongoze mwenzie?! Nani akubali kutokuwa mwenyekiti au mgombea urais?
Kweli huna rais, toka lini UK ikawa na rais! hoja zingine zimekaa kizushi sana
HAKUNA MWANANCHI(wengi) watako chagua vyama vingine.Tatizo watu tulio waamini wametutenda,hivyo ZIMWI LIKUJUALO.....
Naamini kwasasa hakuna Mtu ktk Tanzania hii anayeweza kuongoza,kama yupo hajiamini ndio maana hajajitokeza na kama hajiamini hafai maana atakua anaongoza kufuata maelekezo ya anao waamini yeye.
Wanao jitokeza sasa na kutaka uongozi wa nchi hii hawafanyi hivyo kwa utashi wa kuongoza bali wanatamani kuila keki ya Taifa wao wenyewe.
Labda wazuri hawajitokezi kutokana na taratibu za sasa ambazo zina kataa wagombea binafsi.Labda watajitokeza wazuri kama mgombea binafsi atajitokeza kwa sasa sera za vyama vyetu haviruhusu kuwepo kwa viongozi wa taifa
Ndiyo maana nimewahi kusema hapa huyu Kikwete hafai kabisa hata kugombea tena 2010 maana kuna ushahidi wa kutosha kwamba uongozi wa nchi umemshinda. Jana Salva Rweyemamu mwandishi wa Rais, alisema kwamba Rais 'hahusiki kabisa na swala la mitambo ya Dowans' na sidhani kama anahusika na lolote ndani ya nchi yetu. Itakuwa vizuri wale ambao wanajiona wana sifa na uwezo wa kuwa Rais ndani ya nchi yetu waanza kujitokeza sasa maana kumrudisha tena Kikwete madarakani 2010 itakuwa ni kama kuitosa nchi kwenye maangamizo na huko upinzani naona bado hawataki kusikia kilio chetu Watanzania cha kuunda chaa kimoja chenye nguvu ili wachukue madaraka.
Hivi vyama vya upinzani bado vimelegalega sana kuweza kuchukua nchi lakini vikiungana basi Watanzania wengi tutakuwa tayari kuwaamini na kuwapa madaraka.
Wanaweza pia kutokea watakaompinga ndani ya CCM na hivyo kuhakikisha hapati tena nafasi ya kugombea 2010 kama mgombea toka CCM. Rais kama kashindwa kuongoza nchi katika awamu yake ya kwanza basi hastahili kabisa kuongezewa awamu ya pili. Kwa kipi alichokifanya katika awamu ya kwanza hadi astahili kurudishwa tena madarakani!?
Teh teh teh teh misuse of public fund? hivi by the way kuna haja ya kutumia kodi zetu kumuhudumia kina Mzee Zombe na wenzake mpaka watakapohukumiwa? au tuzihamishie mahosipitalini tupate japo panadol? anyway muungwana ana program ya kugawa VYANDARUA kwa kila MDANGANYIKA ili tusife na malaria. Job True True!Jana nilisikia wimbo wa taifa ukiimba, nikakurupuka kutoka nje nilipokuwa naoga.......
Kufika tu nakuta Mkubwa anaanza kutoa hotuba zake kama kawaida....
NDUGU WANANCHI HIVI PUNDE TUMETOKA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA MUUNGANO, KWAKWELI ZILIFANA SANA NA NAMPONGEZA PINDA KWA MAANDALIZI MAZURI, TOFAUTI NA MIAKA MINGINE TULIKUWA NA MAONYESHO YA MBWA, WALIKUWEPO WATU WALIOZALIWA MIAKA 45 ILIYOPITA WAKATI WA UHURU....... MARA SWEETHEART AKAKURUPUKA HUKO ULIKOKUWA "wewe twende tukalale unasikiliza upuuzi gani? Mwanaume badala ya kuongea vitu vya maana kama dhana nzima ya Muungano anasifia sherehe.........." TV IKAZIMWA........ SIKUJUA KILICHOENDELEA MWENYE POINTI/PUMBA ZAIDI anaweza kutuambia nini kiliongelewa????
Jana nilisikia wimbo wa taifa ukiimba, nikakurupuka kutoka nje nilipokuwa naoga.......

Kwa hiyo zile fedha za walipa kodi zilizomlipa yule mshauri mwelekezi, za nini kama Kikwete anajua kuwa mafuta hakuna na na kwanini suala hilo likaingizwa kinyemela katika mambo ya muungano siku hizo wakati wakijua halipo?Mkuu, hata kama ungekuwa wewe ungeianzaje hotuba? Embu tupe demo ungetuambia nini!.
kuna points za maana sana aliziongelea jana hasa lile la mafuta. Watu washaanza kugombania mafuta wakati watafiti kwa zaidi ya miaka 56 hawajaona dalili.
Wakati mwingine tupunguze chuki binafsi.
Mkuu, hata kama ungekuwa wewe ungeianzaje hotuba? Embu tupe demo ungetuambia nini!.
kuna points za maana sana aliziongelea jana hasa lile la mafuta. Watu washaanza kugombania mafuta wakati watafiti kwa zaidi ya miaka 56 hawajaona dalili.
Wakati mwingine tupunguze chuki binafsi.
Hata mimi nilipenda sana huu ufafanuzi alioutoa kuhusu mafuta.
Now You prove kuwa wazanzibar are no longer stupids.ile hotuba alipanga kuitoa pale taifa ,mbele ya karume ..ikavuja karume akasusa kwenda kumsikiliza..jk naye akapatwa na mfadhaiko akashindwa kuisoma kwa kusononeshwa na karume..kwenye viti vya nyuma shamhuna na bosi wake nahodha wakawa wanamchora tu.....kutokana na ujumbe wa hotuba ikabidi kesho yake washauri wamwambie aisome....teh!