Huyu ndiye rais wetu wa ukweeeh

Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
Hili halina ubishi, jamaa hana masihara katika kazi na huyu ndiye Rais wetu wa ukweli.
[video=youtube_share;zlmEmDMB5p4]http://youtu.be/zlmEmDMB5p4[/video]
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,385
2,000
hana masihara kabisa hata kwenye nyumba za umma alizouza kwa bei chee na zile billion 200 alizofisadi kwa mujibu wa report ya CAG.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,211
2,000
Hana mzaha kwakweli

1. Aliipigia chapuo katiba feki ya chenge na kuipigia ndiyooo, maadili na mambo yote yamsingi yakiwa yameondolewa

2. Akapigia ndiyoo miswaada mitatu ya gesi fasta

Huyu ni fisadi mkubwa asiye na mzaha.
 
MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,218
1,225
Hana mzaha kwakweli

1. Aliipigia chapuo katiba feki ya chenge na kuipigia ndiyooo, maadili na mambo yote yamsingi yakiwa yameondolewa

2. Akapigia ndiyoo miswaada mitatu ya gesi fasta

Huyu ni fisadi mkubwa asiye na mzaha.
Hana mzaha kweli amenunua kiviko kwa mabilion kwa ajili ya kufugia nyuki na popo.
 
Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
hana masihara kabisa hata kwenye nyumba za umma alizouza kwa bei chee na zile billion 200 kwa mujibu wa report ya CAG.
Na wivu wa kijinga wewe huna lolote ukubali usikubali huyu ndiye Rais wako na wangu we weka porojo zako tu lkn hazisaidii kitu hapa
 
Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
Hana mzaha kwakweli

1. Aliipigia chapuo katiba feki ya chenge na kuipigia ndiyooo, maadili na mambo yote yamsingi yakiwa yameondolewa

2. Akapigia ndiyoo miswaada mitatu ya gesi fasta

Huyu ni fisadi mkubwa asiye na mzaha.
Wewe mshenzi sana na huna akili kwanza nionyeshe IBARA gani iliyoondolewa kwenye Katiba inayopendekezwa maana kama ni mambo ya maadil ya Utumishi wa Umma yapo ktk IBARA YA 28 hadi 31 sasa we unaizungumiza Katiba ya mmeo au hii Inayopendekezwa, kenge weee, kasome ndo uje na hoja sio unakurupuka na kuweka uongo wako hapa
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,358

Acha kutukana watu wewe.umeleta uzi tulia unyolewe sasa povu la nini?au unataka kila mtu aunge hoja mkono mia kwa mia kama wabunge wa ccm?
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,385
2,000
Wewe mshenzi sana na huna akili kwanza nionyeshe IBARA gani iliyoondolewa kwenye Katiba inayopendekezwa maana kama ni mambo ya maadil ya Utumishi wa Umma yapo ktk IBARA YA 28 hadi 31 sasa we unaizungumiza Katiba ya mmeo au hii Inayopendekezwa, kenge weee, kasome ndo uje na hoja sio unakurupuka na kuweka uongo wako hapa
mbona umepanic mapema sana??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom