Ukweli kiongozi Kama Nahodha ni Lulu iliyojificha na kama atakuwa Raisi Tanzania tuitakayo itapatikana watanzania Tuamke Tukipata Rais kuwa Nahodha waziri Mkuu Magufuli Tanzania isiyo namakundi na yenye kujali Wananchi inawezekana.
Ukweli kiongozi Kama Nahodha ni Lulu iliyojificha na kama atakuwa Raisi Tanzania tuitakayo itapatikana watanzania Tuamke Tukipata Rais kuwa Nahodha waziri Mkuu Magufuli Tanzania isiyo namakundi na yenye kujali Wananchi inawezekana.
You must be from Zenj. Tafuta Mzenj mwingine wakumpigia debe mshkaji hana mashiko.Hivi wewe unaonglea upuuza gani asa yeye ukajifananishe na ww usiyeweza ata kujadiliwa katika mitandao ya kijamii. ivi unafikiri Nahodha samani yake katika hii Tanzania ni zaidi kuliko ata Nyerere kwa muda huu.
Na kama hastahili ana stahili ivi sasa kuku mmoja nayekuongoza ni wewe mana yeye ndo waziri wako wa mambo ya ndani Asa sijuwi kuku wewe utatoka bandani ukapandiwe na majogoo ya nje auu utabaki katika banda analoliongoza yeye...................
"Think before saying" wewe usikurupuke tu kuchangia huu mtandao wa watu wenye akili kama sisi. changia yenye kuleta maani Mpime kwa Udhani unaeleweka si kusema tu. I hope Mungu Ambariki Awe RAIS
Kimildizo uliposema kuwa kuna maana gani rais kutoka upande huo ulimaanisha Zanzibar?
Km ulimaanisha Zanzibar itabidi nkupe pole mana waznz tunashkuru hawa ma rais tuliokuwa nao hawana migodi ya makaa ya mawe wkt watu wankufa na njaa, hawajapeleka jeshi pemba kuua watu ovyo km bosi wa ukweli na uwazi alivofanya, hatujawahi kuwa na dictator aliekosa huruma na aliekuwa mbaguzi km jamaa mmoja aloleta stori za wazanzibari na wazanzibara!! Sasa sijui kiongozi atoke pande ipi ilokuwa na afadhali! Tanganyika inasifika kwa ufisadi, na naona wote wenye sifa iyo ni wabara, je kimildizo unatataka viongozi wawe mafisadi tu? Huyaki watoke upande wa pili wa urojo? Kimildizo hebu twambie
Nyerere alijenga Nchi na kulinda thamani ya shilingi, Mwinyi akabomao nchi na kuporomosha shilingi. Akaja Mkapa akajenga uchumi na kuzuia mfumuko wa bei, Kikwete kabomoa uchumi na kuruhusu mfumuko wa bei kwenda kasi kama maji ya mvua na shilingi leo ni 1850. Sasa kuna haja gani tena rais ajaye atoke upande huo?