kwemsangazi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 260
- 87
Sijaelewa anafanywaje apo!?
Anachonga penseli weeee naweeee huonii tuu...
Sijaelewa anafanywaje apo!?
![]()
Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you
Tatizo ni pale vijana wenzako wanakuona mtoto wa mama,hata kupata gero frendi ni shida wanawake wanakukataa maana wanaamin kufanyiwa tohara kwa mtindo huo ni ushujaa sasa mwanamke gani asiyependa kuwa na mwanaume shujaa? jamaa yangu mdogo wake alipomaliza darasa la saba alimpeleka kijijn kwao akafanyiwe hiyo kitu!Wana matatizo yao hao, sasa ukionekana si Mwanaume kamili,wakati wewe ni Mwanaume Kamili kuna tatizo kwani?????
Nikakate niingie hasara?Msiotahiriwa mnanuka zone za kibamia hatareeee esp ukiwa nchi ya jotooo. bujibuji kakate bana
Kweli mwanaume wa shoka huyo japo inatisha....
Loh kaaazi kwelikweli
Kwanini hii makitu inafanyika shamba tu, mjini hamna?Tatizo ni pale vijana wenzako wanakuona mtoto wa mama,hata kupata gero frendi ni shida wanawake wanakukataa maana wanaamin kufanyiwa tohara kwa mtindo huo ni ushujaa sasa mwanamke gani asiyependa kuwa na mwanaume shujaa? jamaa yangu mdogo wake alipomaliza darasa la saba alimpeleka kijijn kwao akafanyiwe hiyo kitu!
Mjini watu wako bize na maisha mila na tamaduni wametupa kule.........,hiyo kitu inasemekana inafanyika porini ambako vijana hupelekwa mjini hakuna hayo mapori zaidi ya nyumba za watu,pia mchanganyiko wa makabila mbalimbali inachangia,kwa binti kuchezwa ngoma anapovunja ungo ilikuwa kawaida hapo zamani kulingana na taratibu na mila za kabila husika kuna wamakonde huku bunju bado wanawachezesha mabinti hizo ngoma wakiwa vifua wazi na watu wote tunaona,unafikiri binti ataishi kwa amani wenzake wanapomcheka daily,na wengine tunaona ni udhalilishaji kumuweka binti kifua wazi hadharani,nadhani hayo mambo yabaki huko huko vijijini tu kwa ambao bado wanafikiria yanaumuhimu!Kwanini hii makitu inafanyika shamba tu, mjini hamna?
Sasa huyu anayavumiliaje?