Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
- Thread starter
- #61

Do you think that you have captured my mind? Hahahaaaaa......! Ni ukweli usiopingika kuwa malezi bora kutoka kwa baba na mama yana nafasi kubwa sana katika kumjenga mtoto. Na ndo maana nikasema kuwa wababa mlijisahau sana katika hili na wengine mkashindwa kutimiza majukumu yenu katika familia mkidhani watoto wote wanazaliwa na akili moja! Tatizo lako ni kwamba, unamlaumu mama anaefanya kazi lakini hauangalii kwanini huyo mama anaamua kuiacha nyumba yake asubuhi na kwenda kutafuta riziki?

No i don't,and i didn't mean that,sababu ya mama kufanya kazi leo ni matokeo ya malezi mabovu ya mumewe alipokuwa mdogo!