Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674

Bahati mbaya Karen jukumu lenu hamlitaki siku hizi!Too bad isn't it?

Kwa makusudi sana wababa wamekimbia majukumu yao!

Bahati mbaya Karen jukumu lenu hamlitaki siku hizi!Too bad isn't it?

Ni kweli tatizo la ulevi lipo tangu siku nyingi,nikuulize swali hiyo zamani unayoizungumzia ni ipi?Je unajua wanawake walianza kufanya kazi?Apart from that unapomuona baba ana tabia hizo sababu kubwa ni malezi na wakati mwingine vurugu za mke anaamua kutumia pombe kama tulizo,lakini hata huyo mwanamke mwenye vurugu nae ana matatizo yaleyale ya kimalezi,tunarudi kulekule!

Hiyo hiyo zamani ya ulevi na ndo ilosabisha insanity na jeuri ya ajabu na wala sio malezi ya mama!! Maamuzi mengine mnayafanya kwa makusudi then mnamsingizia mama.
nimelelewa na mama aliyekuwa anafanyakazi na katika watoto wake wote tumefanikiwa na tumeshika position kubwa katika jamii. alitushape tabia mpaka wengine wanamuuliza aliwezaje.

nimelelewa na mama aliyekuwa anafanyakazi na katika watoto wake wote tumefanikiwa na tumeshika position kubwa katika jamii. alitushape tabia mpaka wengine wanamuuliza aliwezaje.

msongo wa mawazo unaweza ukawa worse akiwa hata amekaa nyumbani kusubiri kuletewa na mme. lets us appreciate our mothers and God will bless us abundantly. hakuna mama ambaye anapenda kumwacha mtoto wake wa 3 months ila circumstances zimewaforce. big up our mama. i 'll always appreciate whta u ve done in our lives.

Its funny u didnt answer my question logicaly!!

hao wanamuuliza aliwezaje ni ambao wako nyumbani na ni full time mothers/house wife na watoto wao ni vimeo. so wanamuuliza aliwezaje kulea watoto wake vizuri na mme ambae always wako pamoja as the best couple kwenye ukoo.

Wanawake huwa hawataki challenges, kila wakiambiwa jambo wao hujibu "kwa vile mimi ni mwanamke eh" hebu tufuate maandiko ya vitabu vya dini tuachane na siasa. Tusiwe wanafiki wa kwenda kanisani huku ukweli tunaukimbia.

Mimi naamini mwanamke ndo mlezi namba 1 wa watoto, naamini pia mama ndo house care no 1. Ndo maana siku hizi nyumba nyingi mahouse girl wamechukua kasi sababu wanawake nao kujifanya mabwana.

Yah but b'se of weman!

Nimeandika haya kutokana na uchungu wa yanayotokea kwenye jamii yetu,sina kumbukumbu yoyote mbaya ya utotoni!

No. B'se of recklessness na that arrongant behaviour u have! U went straight beyond the boundaries without caring the package and even that special lady u have behind. If u could judge ur speed then u could have realized!