Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,435
- 191,764
Mpenzi sio gazeti, Kazi ni moja tu, kuwakojoza kisha wenyewe watajiongeza 😀😀😀
Mpenzi sio gazeti, Kazi ni moja tu, kuwakojoza kisha wenyewe watajiongeza 😀😀😀
Kamfanya bi mkubwa 😀Kampandisha mkewe cheo.
Niko hapa mkuu, nakushukuru kwa hii feedback yako 🥰Daah nimetoka kumuwaza SASA HV hakuna mdada namkubali jf kama financial services, hiv Yuko wapi maana simuoni.
Acha wivuu Mzab wewe nimekuringia wapi?😀🤣🤣🤣🤣 Kana maringo hako acha tuu
Japo profile pic kweli siyo mimi, ila achana na maneno ya Mzabzab ni upotoshaji tu mkuu😀Au ndo profile picture imenidanganya
Hee Mr Blank umeshindaje?Nitampata hata miss financial services asee
Haya, fanyeni maamuzi magumuNiko hapa mkuu, nakushukuru kwa hii feedback yako 🥰
😀😀 maamuzi gani tena?Haya, fanyeni maamuzi magumu
Sijachanganya mafaili sikujua Joanah atarespond vipi kwa hii thread akatukusanya na Equation x tukala za uso.Mkuu humu kuna Joannah na huyu kauzu @Joanah,so usichanganye mafaili.
A+B=B+A😀😀 maamuzi gani tena?
And =BA or AB 😀 vipi Joanah umempata?A+B=B+A
Fanya marekebisho kwanzaAnd =BA or AB 😀 vipi Joanah umempata?
Sii umekataa kuwa mke mdogoAcha wivuu Mzab wewe nimekuringia wapi?😀
Mambo ya mke mwenza mmh huu wivu nahisi ntakua nasikitika tu nikijua umeenda kwa bi mkubwa😀Sii umekataa kuwa mke mdogo
Mbona yatima wa mapenzi 🤣🤣🤣🤣Aunt mm naomba uliposhika usiachie waraka kama huu wa ndugu yetu unapendezesha jf na wale yatima wa mapenzi wanaweza wakapata kupona maana Wana makasiriko balaa😂😂😂😂
😂😂😂Wakiona wametuma nauli watu hawajaenda wanakasirikia post za watu😂😂😂Mbona yatima wa mapenzi 🤣🤣🤣🤣
Ah wee sii unajiunga na bi mkubwa tunapeana maraha 🤣🤣🤣🤣Mambo ya mke mwenza mmh huu wivu nahisi ntakua nasikitika tu nikijua umeenda kwa bi mkubwa😀
Jibu zuri. Ndo hazifungiwi chumbaniHaina shida, ndio maana ndoa tunafunga sehemj za wazi