Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,239
- 10,586
Weeee umekuwa " mama"Stupid!
Hilo nalo "Ukaliangalie"
Weeee umekuwa " mama"Stupid!
😂😂😂😂Ninayo hata hiyo ya urithi sasa 🤣
Ntaiuza hii dunia yenu mkatafute pa kuishi maana mimi na kupenda mitego ni ndugu wa damu
Kwa hiyo watu wote wanaokutana kimahusiano ni makahaba?Kama ukahaba umeingia mpaka jf basi . Naomba Mod. WANIPIGE BAN tu
Naona anataka kujimilikisha, ila anapita nji za mkato. Tutampiga faini hadi akili imkae sawa, hatujui vizuri wabantu😅😅😅Hapa itabidi apate ruhusa zako ndio aendelee na mipango yake ya kunipenda,au unasemaje kaka mdogo?
Atakuwa ni mtoto mzuri sanaa hana makuu. Atapita hapa mkuu, kuwa na subra.Daah nimetoka kumuwaza SASA HV hakuna mdada namkubali jf kama financial services, hiv Yuko wapi maana simuoni.
Hebu tuweke waziNimefika.
Ngoja nimsubir ili nimfungukie waziwaziAtakuwa ni mtoto mzuri sanaa hana makuu. Atapita hapa mkuu, kuwa na subra.
Kwa nini?Stupid!
Ameolewa na cpa🤣🤣🤣😂Itabidi ajioe mwenyewe 😀 😀 😀
Una maneno mazuri mrembo😅Aunt mm naomba uliposhika usiachie waraka kama huu wa ndugu yetu unapendezesha jf na wale yatima wa mapenzi wanaweza wakapata kupona maana Wana makasiriko balaa😂😂😂😂
Hahaha, wasije wakaisha ase…...........tuchangamke mkuu, hizi wiki mbili tatu naona watu wanagawana tu, na karibu wanaishia!!......
Uwanja ni wako mkuu, tunakutakia kheri.Ngoja nimsubir ili nimfungukie waziwazi
Hatari sanaAmeolewa na cpa🤣🤣🤣😂
Kungwi ananisinga kwa ajili ya maandalizi ya harusi kasema nisilizungumzie hili suala muda huu naweza pigwa zongo bwana harusi akapeperukaHebu tuweke wazi
Please popote utakapomuona naomba unite mkuu Blank pageUwanja ni wako mkuu, tunakutakia kheri.
SioNi yule mwanadada anaye tandika mikeka kule kwenye uzi wa kubet?
Angepewa mbususu mpaka ya uvunguni.