Huyu ndiye mpori mpori

Kama sio picha ya kwenye sinema basi mie namtafakari huyo mtoto na wanaomtuma, just imagine wanampa mtu silaha ya malaki kama sio milioni ila wanashindwa kumpa nguo za kumsitiri? Mtoto nae karidhika kumilikishwa silaha kaona amepata zaidi ya hitaji lake. Mungu atunusuru.
 
Alichovaa ndiyo vazi la field
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom