Huyu ndiye mchumba wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye mchumba wangu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa Nyumbani, May 30, 2011.

 1. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kijana alimpeleka mchumba wake nyumbani ili wazazi wake wakamwone. Alipofika naye tu, baba yake akagundua dosari, maana binti alikuwa mweusi sana, ana matege ya ndani na makengeza makali. Msichana ili kumvutia baba mkwe akaona atabasamu kidogo. Lahaula! alikuwa na mapengo meno yote ya mbele! Baba akaamua kumpeleka kijana wake nje wakaongee.
  Baba: Kijana hebu twende nje kidogo
  Kijana: sema tu hapa hapa, mchumba wangu ni kiziwi!
  Baba akaduwaaa!!!
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hahahaaa, duu jamaa kweli kapenda.
   
 3. N

  Neixo New Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli demu mkali huyo,
   
 4. R

  Rushdie jr Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Sio bure Limbwata hiloo
   
 5. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ama kweli huyo bonge la mchumba. Na mimi nimempenda ghafla.
   
 6. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo dada hakuchagua awe hivyo jinsi alivyo, na yeye ana haki ya kupendwa!
   
 7. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  True love.
   
 8. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  jamani siri ya mtungi huijua ................
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kama limemkolea na wamependana acha limbwata lifanye kazi maana hakuna mapenzi ya kweli siku hizi
   
 10. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli kupenda ni maradhi
   
Loading...