picha ya ommy dimpozi na demu
Juzi kati kuna mademu tulikuwa nao kwenye party wakawa wanamuongelea jamaa demu mmoja akasema jamaa ana busha ndo maana haangaiki na mademu hapa daslam
Mmh sidhani, angekuwa anavaa vipedo?? Huyu jamaa yupo vizur sema demu ndo hana, yaan washanogewa had mademu wanawasahau
Sisi wenyewe tuliguna tukamwambia akae kimya maana hata jamaa tushakaa nae sana na alikuwa karibu na huyo demu tangu jamaa yuko kwa tid
Dah hatar sana kwa huyu jamaa, umri unaenda au ndo yupo busy na kazi , maana wengine madem sio hobby zao wengine pombe na starehe nyingine,sasa najaribu kujiuliza kwa ommy atakuwa ma starehe gan nyingine, maana pombe hanywi na mademu hana
Hahahahahaha daa ana busha tangia lini.Juzi kati kuna mademu tulikuwa nao kwenye party wakawa wanamuongelea jamaa demu mmoja akasema jamaa ana busha ndo maana haangaiki na mademu hapa daslam
Labda kusafir , maana kutwa yeye yupo sijui canada, mara london,sijui usa naona bongo siku iz anakuja kutembea tu