Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Mastaa wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni tofauti hata hivyo.

Nimastaa wachache wenye ujasiri wa kuwawekahadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz. Mastaa wengine akiwemo Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha wapenzi wao hadharani labda kama ni tetesi tu.

Ommy Dimpoz ameshare picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hata hivyo hajafafanua kama ni mpenzi wake ama rafiki tu.

attachment.php
 
Juzi kati kuna mademu tulikuwa nao kwenye party wakawa wanamuongelea jamaa demu mmoja akasema jamaa ana busha ndo maana haangaiki na mademu hapa daslam

Mmh sidhani, angekuwa anavaa vipedo?? Huyu jamaa yupo vizur sema demu ndo hana, yaan washanogewa had mademu wanawasahau
 
Mmh sidhani, angekuwa anavaa vipedo?? Huyu jamaa yupo vizur sema demu ndo hana, yaan washanogewa had mademu wanawasahau

Sisi wenyewe tuliguna tukamwambia akae kimya maana hata jamaa tushakaa nae sana na alikuwa karibu na huyo demu tangu jamaa yuko kwa tid
 
Sisi wenyewe tuliguna tukamwambia akae kimya maana hata jamaa tushakaa nae sana na alikuwa karibu na huyo demu tangu jamaa yuko kwa tid

Dah hatar sana kwa huyu jamaa, umri unaenda au ndo yupo busy na kazi , maana wengine madem sio hobby zao wengine pombe na starehe nyingine,sasa najaribu kujiuliza kwa ommy atakuwa ma starehe gan nyingine, maana pombe hanywi na mademu hana
 
mmmmmh!sa sterehe yake ni nini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom