Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )
naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )
Ni nani na kwanini ni mbwiga? tuwe magreat thinker wa ukweli maana kwa mtu anayefikiria hawezi kupost bila kutoa maelezo yanayojitoleza, yaani hapo ulichofanya ni kama kuandika ktk album yako ambayo wewe pekee ndiye unayejua kwanini uliamua kuandika vile.
Yaani watu mjini wanaishi kimjinimjini tu, amakweli kuishi mjini ni sawa na chuo kikuu mwaka wa tatu,,sio form six kama zamani.
Watangazaji wengi wa clouds, Julio (kocha) etc wanaishi kimjinimjini a.k.a kiporojo.
Jamaa anajua kutoka nje ya mada.
Ataanza na stori ya yanga alaf ataenda timu ya taifa atakupa stori za chui mbwa ndege njiwa samaki mandazi karanga alaf atarudi Yanga
Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
( shoto mwenye jezi ya
azam )