PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.
wewe kwanza badili usemi wako...yaani walimu wakimbie UDOM waje udsm?hakuna kitu kama hicho na usahau...watu wanatoka udsm na GPA zao ndogo za kuchechemea ndo wanakimbilia udom kufundisha.POLE SANA WANAFUNZI WA UDOM CHUO KIKUBWA KULIKO VYOTE NCHINI TEH TEH SIJUI CHUO NI MAJENGO!!!!!
Huyu ni Prof. Wakiswahili hana kabisa element ya admistrator, hebu ona kwenye orientetion ya waajiriwa wapya anadhubutu kutishia kufanya kitu mbaya naukiamua kwenda popote iwe ni ikulu ataitwa na atakuacha wewe wanakushughuli yaana huyo bwana ana jeuri kwa sababu ya uswahiba wa kuoleana na JK. Nikweli kabi ame mu overpower kikula.PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.
aliyekudanganya nani kwa taarifa zako vigezo vya kuajiri UDOM NA UDSM ni vilezile undergraduate lazima upate GPA ya 3.8 au zaidi na masters lazima upate GPA ya 4.0 au zaidi. Zaidi ya hapo kama ulikua hujui asilimia 80 ya walimu wa UDOM walikua wanafundisha UDSM kwa hiyo wanapoona UDOM hakueleweki wanaamua kurudi UDSM kama huamini nenda UDSM idara za sociology, Kiswahili kaulize wangapi wametoka UDOM. Nenda pia DUCE idara ya Political science, literature kaulize utaambiwa. hiyo ni mifano michache tu lakini walimu kibao wamehama kwenda UDSM na kwingineko. Na hata hao ma tutorial assistants asilimia zaidi ya 70 wamemaliza UDSM, wengine wamemaliz SUA na Mzumbe na wamepiga GPA kali tu. ACHA KUROPOKA BILA KUA NA DATA NAOMBA UNITAJIE MWALIMU MWENYE GPA YA KUCHECHEMEA UDOM.
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.
Mkuu acha uongoaliyekudanganya nani kwa taarifa zako vigezo vya kuajiri UDOM NA UDSM ni vilezile undergraduate lazima upate GPA ya 3.8 au zaidi na masters lazima upate GPA ya 4.0 au zaidi. Zaidi ya hapo kama ulikua hujui asilimia 80 ya walimu wa UDOM walikua wanafundisha UDSM kwa hiyo wanapoona UDOM hakueleweki wanaamua kurudi UDSM kama huamini nenda UDSM idara za sociology, Kiswahili kaulize wangapi wametoka UDOM. Nenda pia DUCE idara ya Political science, literature kaulize utaambiwa. hiyo ni mifano michache tu lakini walimu kibao wamehama kwenda UDSM na kwingineko. Na hata hao ma tutorial assistants asilimia zaidi ya 70 wamemaliza UDSM, wengine wamemaliz SUA na Mzumbe na wamepiga GPA kali tu. ACHA KUROPOKA BILA KUA NA DATA NAOMBA UNITAJIE MWALIMU MWENYE GPA YA KUCHECHEMEA UDOM.