Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA

Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Ni maana ya ubishi au fujo zipi walitenda na walikuwa na silaha?Single ya udini imewashinda sasa mmebaki kunywa damu za watu lakini yana mwisho. Marehemu Ally pamoja na wengineo waliouwawa kwa ajli ya ukomboz wa taifa hili damu zenu hazitapotea kamwe.Mungu anawapigania na ipo siku ukombozi utapatikana tu.
 
Ama kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!

kwanza nakupongeza kwa kukiri kwamba M4C nichama kubwa lakini cha kujiuliza utaendaje kwenye tukio(shughuli) kimya kimya ,kumbuka hata mpirani utavaa jezi njiani utaona vipeperushi au bendera n.k,msibani nguo nyeusi khanga zenye maneno ya faraja na kumsifu mungu sasa kwa akili timamu uende kwenye mkutano halali si wa uhaini bila vipeperushi na mabango ya kufarijiana huo ni unafiki wa policcm haiwezekani ,nisawa umwambie mwenye kiu twende kisimani lakini usiteke maji kunywa.
 
Shida watu wakiambiwa hawachanganyi na zao na ndio maana mauaji ya kijinga yanatokea.wao wanadhani wanaidhoofisha CDM kumbe ndio wanachangia kuiimarisha..

Kupitia mambo kama haya huwa inasikika na kukubalika ktk misimamo yake
 
serikali ya kijinga kweli hii,risasi tunanunua wenyewe, wanatumia kutuulia sisi wenyewe.!!
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Chama kikifungia na hawa wauwaji policcm watafanya je?
 

Kuna habari kwamba kuuawa kwa Raia wasio na hatia kulipelekea baadhi ya Askari kukataa kwenda kuyazuia maandamano maana walitakiwa watumwe kwenda kuyalinda na si kuyazuia na hivyo wamepelekwa Dar es Salaam wakajieleze kwasababu inatia wasiwasi huenda wana ajenda mbaya na CCM na inahisiwa kitakachofuatia ni kuwatimua kazi au kuwahamisha kituo cha kazi, mimi ninawapongeza hao polisi maana ni kheri kupoteza kazi kuliko kutumika kama kondomu
 
Ama kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!

Jiulize kwanini huna uwezo? Mungu alijua angekupa uwezo ungezidi kuikandamiza tz inayoliwa na wachache na mabidiliko makubwa yanayokuja hivi karibuni yangechewa
 
Mayhem as police break up Chadema demo
Monday, 27 August 2012 22:59


chade-andam.jpg

By The Citizen Correspondents
Morogoro.Chadema demonstrations that were planned to take place here degenerated into ugly confrontations pitting the party’s supporters and police personnel, resulting in the death of at least one person.

While the opposition party moved quickly to blame the Police Force for the death, the law enforcement organ defended itself, stating that it was Chadema’s failure to abide by the law, that messed up what would have been a peaceful climax of its series of their rallies in Morogoro Region.

The police arrested numerous people, including Chadema national leaders, in connection with the tragic disturbances. However, some of the officials were later released without any charges being preferred against them. Mr Ally Zona, 38, a tout at Msamvu bus stand and resident of Kihonda who is believed to have been a staunch Chadema supporter, died yesterday when police officers used tear gas to disperse thousands of young people who were demonstrating against the police order not to demonstrate.

Chadema had planned a series of demonstrations that would start from various points of the municipality and head to Uwanja wa Ndege Primary School grounds where a huge rally was to be held to mark the climax of its Movement of Chadema (M4C) activities in Morogoro Region. Reports said that Mr Zona was killed at around 1.30pm at Msamvu as police got engaged in running battles with Chadema supporters. The police had moved in to disperse a group of people believed to be Chadema members and supporters who were waiting for their national leaders to lead the demonstrations to Uwanja wa Ndege.

The regional police commander, Mr Faustine Shilogile, confirmed the death of one person, saying he had directed his officers to go to Morogoro Regional Hospital where the body was taken so that they can be witness to the post mortem.

However, the police boss sought to distance the Force from the death, saying the body was found a long distance from where the disturbances took place.

He pointed out that preliminary reports show that Mr Zona suffered head injuries. But, he said, no one has confirmed the course of the injuries which culminated into profuse bleeding. He also denied reports that some Chadema leaders have been arrested.

Commenting on the death, a Chadema legal counsel in the region, Mr Aman Mwaipaya, said there was no way the police could exonerate themselves from blame with regard to the man’s death.He said the law enforcers were the cause of the melee in which Mr Zona got entangled and lost his life. He said as Chandema members and supporters waited for the arrival of their leader, the situation was calm and so the police had no business dispersing the group, which was peaceful.

Meanwhile, despite Mr Shilogile’s denial of the arrest of any Chadema leaders, reports indicate that the M4C national coordinator, Mr Bension Kigaila, was put under police custody.

Police started their patrol as early as 9am using at least five Land Rovers filled by members of the riot squad, the Field Force Unit (FFU). Using loudspeakers, they warned people to stay away from the demonstrations because “they hadn’t been permitted by the police.” The demonstrations were first scheduled to take place earlier in the month but law enforcers and Chadema amicably agreed to push them back to pave the way for the Nane-Nane celebrations’ conclusion.
It was not clear why the police decided to ban Chadema demonstrations yesterday.

Commenting on Ally Zona death, Chadema secretary general, Dr Willibrod Slaa, said his killing would be a catalyst for the anticipated political changes in the country. “He died while defending democracy and agitating for change, as a party we will participate fully in his burial. We are waiting for the arrangements from the family,” he said.
Reported by Hamida Shariff and Lilian Lucas


Nashangaa hapo pekundu!
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Hapa aliyeua nani sasa? Policcm ama CDM? kulikua na sababu gani ya kutumia silaha za moto kwa watu ambao hawakua hata manati? Huu si wehu? tatizo polic wetu wamezidi kuvuta bangi nowadays. Kwenye operesheni ka hiyo c ajabu walishapuliza vya kutosha. Kwani risasi za mipira hamna? Huu ni udhaifu mkubwa wa serikali na inastahili lawama zote
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Kigezo gani kinatumika kutoa vibali vya maandamano?Maana hizi vurugu na kuua watu wasio na hatia imekuwa kama kitu cha kawaida sasa hivi. Ila tunaanda tatizo ambalo hatutaweza kulimudu.
 
The regional police commander, Mr Faustine Shilogile, confirmed the death of one person, saying he had directed his officers to go to Morogoro Regional Hospital where the body was taken so that they can be witness to the post mortem.
However, the police boss sought to distance the Force from the death, saying the body was found a long distance from where the disturbances took place.

Inashangaza!
 
Siku ya kiongozi aliyekuwa akiamrisha watu wapigwe Risasi ikifika kama vile Saddamu Hussein,Mohamedi Gaddafi, El-Asaady,Marehemu Haile Selasie,wa Ethiopia,Iddi Amin Dada wa Uganda,na wengine wapenzi na wafuasi wake watasikitika au watalia???????? kwa kuondokewa na mdhalimu wao????????????????????????????
 
Hapa ndio nataka kuona wanasiasa wetu watavyoongoza mapambano haki itendeke hata kwa nguvu ya umma.si mara ya kwanza mauaji kufanyika tena na polisi.Hili la wazi kabisa likipita nalo tunatatizo kubwa sana ktk siasa za nchi yetu.Damu isiyo na hatia haiwezi kumwagwa alafu tukaishia kutoa r.i.p tu!
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.
Zimebaki siku chache kama hukukimbia utasarenda wewe ngoja tuu unakejeli maisha ya wenzio siku akifa ndugu yako ndipo utakapo jua!!! Muulize Ritz ameanza kufunguka!!!

 
Back
Top Bottom