Mpende msipende hawa jamaa wawili will one day rule this country.
January Yusuf Makamba ni mwanae Katibu Mkuu wa CCM YUSUF Makamba, ambaye kwa sasa ndiye mwakilishi wa Jimbo la Bumbuli. John Mashaka ni Mwanaharakati mkubwa, anayeiwakilisha Tanzania katika Soko la Kifedha la Kimataifa "Investment Banker" huko Wall-street Marekani. Hawa vijana ni vichwa, hawana umasikini wa hoja na sipunde nitafurahi sana kuwaona wakishirikiana kuiongoza hii nchi. January ni mtu wa kawaida sana, Mashaka naye ni kijana mchapa kazi na mwenye busara na upeo wa hali ya juu. Kwa hiyo tusiopenda maendeleo yao, nikiwa wa kwanza, sina budi kukubali kwamba hawa vijana wanakuja na kati ya Mgogoni St. Dar es Salaama. Nitawakaribisha ikulu ikiwa Ridhiwani, na Mzee Yusuf Makamba wamefungiwa nyororo shingoni
Please Leta details zaidi am bit dumb kuhusu hii issue tafadhali nijuze mkuu what made you think that

Tanzania said:Wenye uwezo wa kuongoza nchi hii ni wengi sana. Na kama ingewezekana wakaorodheshwa , basi hao unaotaja wewe wanaweza wasiwemo. Let us think positively to our country and not bringing self-centered and stupid mind. When did you know Jan Makamba? or Before would you expect someone like Makamba the father to become CCM Gen. Secretary? or Do you how many people wished and expected to become a present before Mkapa? So Stop telling us this stupid idea.
Utakuwa unamchongoa Mwigulu, manake kila picha yeye ana skafu tena ya winter, sasa sijui bongo kuna winter siku hizi!Kwakwakwaaaa...unajua nilikuwa sijaangalia vizuri...hiyo njemba sijui ilikuwa inafikiria nini? Skafu ya nini bongo..? Lol
Wenye uwezo wa kuongoza nchi hii ni wengi sana. Na kama ingewezekana wakaorodheshwa , basi hao unaotaja wewe wanaweza wasiwemo. Let us think positively to our country and not bringing self-centered and stupid mind. When did you know Jan Makamba? or Before would you expect someone like Makamba the father to become CCM Gen. Secretary? or Do you how many people wished and expected to become a present before Mkapa? So Stop telling us this stupid idea.
Duu hii habar ya mwaka 2010 ndio mnaileta leo LOL
Oh my eyebrows .He is hard looking and extremely scary .He is so junk like Muhimbili trash canHuyo katikati, kwa mujibu wa Michuzi, ndiye John Mashaka..
John Mashaka ndo nani?
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk