secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,611
Ken.ge kweli ww...kwa akili yako fupi unajua kuendesha ndege ni bonge ya deal......Hesabu za kugawanya tu huwezi; halafu unataka uwafananishe marubani na nyie ambao hata manual transmission vehicle hamuiondoi!!?
Yaani we mbugila wa kujifananisha na mtoto wa japani? Manual stick tu huendeshi uweze ndege?Ken.ge kweli ww...kwa akili yako fupi unajua kuendesha ndege ni bonge ya deal......
wakati ukienda JP watoto wa miaka 8 wanarusha hayo makitu
Mwalimu C. Mwakasege.Ni mtoto wa Mwakasege mhubiri wa Injili ya Bwana wa Majeshi
Mmh, kweli hupewi vyoteNdiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
WB ndo nini mkuu?Huyu mzee watoto wake wanashika pazuri, yule marehemu alikuwa WB at the age of 25
Rusha komwe lako humu tulijadiliBut she is fat
World BankWB ndo nini mkuu?
Hi!Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Warembo wengi sio rahisi kufanikiwa masomoni kwa sababu wako targeted sana na wanaume.Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
SawaNdiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Pisi kaliiiiiNdiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Asante sana rubaniMimi ni rubani wa kurusha ndege! Huyo ni first officer kwa jinsi walivyoketi hapo. Anayerusha ndege ni huyo mwanaume aliyeketi upande wa kushoto! Huyo ndiye anayesukuma huo mtambo! Mwakasege ni msaidizi hapo!
Kuna ka uhakika fulani hapo na ndiyo maana wanawake wengi wenye nafasi kubwa kwenye serikali sura zao ni balaaaWarembo wengi sio rahisi kufanikiwa masomoni kwa sababu wako targeted sana na wanaume.
Wanaofanikiwa masomoni wengi wao ni wanawake wasio na mvuto.