Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Ndio uswahili mkuu yaani ndio hulka kama huko wanarusha n huku hakuna why tumnyime credit?roho mbaya haijengi...hongera Ana...
 
Duh,Kuna ajabu gani sasa?!!!
Mabeberu wanatushangaa Mambo tunayojisifia😲😲
 
What is so spesho about urubani!!?
hawa ni madereva tu

Bei za hizo ndude makes the difference.

Bila ya shaka ndiyo sababu hakabidhiwi dereva dereva tu kama wewe au hata kama wa daladala tu.

Haiyumkiniki ndiyo maana beberu naye badala ya kuwa busy machungani kuliko wingi wa mbususu nalo limetia timu papo kwa hapo.

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…