Just talker
Member
- Jan 6, 2021
- 50
- 63
Thread imefutika 😂🤗
Una miaka mingapi?JE ? HUYU NDIYE ALIILETA CORONA?
Na Donrugi
Kuna mtu mmoja anaitwa Jeff Bezos, halafu kuna Corona halafu kuna Ellon musk, halafu kuna pesa.
Tuanze na Jeff Bezos huyu ni mmliki wa duka la online la Amazon. Ambaye muda kadhaa nyuma kabla ya corona alikuwa ndiye tajiri namba moja duniani akimiliki dollar $113. halafu ndani ya mwaka mmoja yaani kabla ya mwaka mmoja kuisha yaani kipindi kifupi tu cha quarantine utajiri wake ukaongezeka hadi kufikia dollar $188B kwa muda wa miezi sita tu. Yaani ni sawa utajiri wake umeji double japo haujafikia nusu NI KAMA UMEJIDOUBLE.
Nilikuwa nina hofu kuwa huenda huu ugonjwa akawa ni miongoni mwa wahusika, lakini nikajisemea pia kuwa sio kweli alipanga watu wafungiwe ndani ili litumike duka lake tu la online na maduka mengine kuwauzia watu bidhaa ili wajiongezee kipato.
Nikawa nahisi ugonjwa ulianzia china labda kwakuwa watu wengi na kama wote wakifungiwa ndani wataanza kununua online bidhaa na wapige mpunga , nikakumbuka china wengi wananunua Alibaba sio Amazon basi story ya kumhisi tena Jeff nikaipiga chini, nikaona kapiga bingo tu, maisha yakaendelea.
Sasa tukija kwenye corona, mwishon mwa mwaka ikawa kama imepungua ukali sana hadi baadhi ya nchi zilizo funga mipaka yao kuanza kuifungua.
Tuje kwa Ellon musk huyu jamaa kwasasa ndiye tajiri namba moja duniani ambaye ni mmliki wa kampuni ya gari ya Tesla na kampuni ya space x. Huyu simhusishi Na corona tuendelee na Jeff Bezos.
Jeff kwasasa ni tajiri namba mbili na hata miezi mitatu haijaisha toka atolewe namba moja. Tuje kwenye corona ajabu ni kuwa corona imekuja nyingine ambayo inadaiwa ni zaidi ya corona ya awali.
Corona imerudi baada ya Ellon musk kuwa tajiri namba moja, kama hii itakuwa kama au zaidi ya awali maana yake Jeff utajiri wake utaongezeka mala dufu tena na atakuwa tajiri namba moja tena.
Mimi Sina imani hata kidogo na Jeff Bezos japo mimi shabiki wa mafanikio yake, labda kama anahusika anahitaji quarantine nyingine ili aingize pesa ndefu tena kisha arudi kwenye nafasi yake.
Wakati na andika hii story jeff Bezos alikuwa ni tajiri namba mbili kwa mjibu wa Forbes lakini kwasasa baada ya Elon musk kupata hasara juzi juzi ya $20B imemrudisha Jeff kwenye namba moja yake. Lakini Mimi naamini hata isingekuwa hivo basi Jeff lazima angerudi tena na ingetosha kujiaminisha kumhusisha na.
NimesahauUna miaka mingapi?
Na mimi naona hivyo.Nimesahau