Huyu ndio yule mwanafunzi alieandika mistari ya bongofleva kwenye mtihani wa form four 2011

Huku USA kila tu ni lazima amalize High School
Hilo ndo Darasa la saba la huku.

Sasa ikitokea Darasa la saba la Marekani anakua na kampuni,
Swano kama Apple wakati watu na PhD za kilimo hawawezi,
kutunza tuta la mchicha?!
Elimu ni nini?

Kuna watu ni Mabingwa wa kushusha Integral lakini hawawezi kuimba,
Wako waimbaji maarufu wengine hata kusoma hawajui.
Kuna wachoraji wa picha kali wasio wahi kusoma hata darasa moja.

Lakini hata hivyo kuna wenye PhD Masters na Digirii moja,
wamejipanga foleni kusubiri ajira.

Elimu ni nini?

Bangi wanavuta watu wengi sana,
wachache ndo huharibikiwa akili,
na huchekwa na kutaniwa na wengi,
wavutao sana bila kuonyesha,
dalili za kudhurika moja kwa moja.

Wewe unadhani siku Bill Gate anaacha shule,
Microsoft ilikuwa kampuni Tayari,
Na yeye alikuwa Bilionea.
Baba na mama yake hawakuafiki hata kidogo.
Kampuni ilianzia kwenye parking ya gari kwenye nyumba ya baba yake.
Mike Dell naye alikuwa akikacha vipindi,
kwenda kutafiti namna ya kuunda kompyuta,
Wazazi wake hawakuafiki hilo.

Enzi zao nao walionekana na kila mtu kaa si nchi nzia wavuta bangi waliochanganyikiwa zaidi, luza wakubwa.




Kama mimi ni mvutaji sugu sioni chochote cha kuzuia wewe kuwa mvutaji sugu pia au hapo baadaye kuja kudata kabisa.

kama kweli uko USA basi wajue wamevamiwa tu huko,hauna akili za kuishi USA wewe,wewe ni huyu mdogo wako mnaufinyu wa akili!
 
5393582.jpg

Huyu may be ana2mia hii ki2.
 
Back
Top Bottom