Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,405
-
[h=6]Joseph Mbilinyi
[/h][h=6]‎...if they ask u who's Sugu...Tell em'... I'm the Rapper/Music Activist/Business Man/C.E.O/MP...and now also the AUTHOR![/h]
The author eee !
Wewe facebook account yako huwa anedit nani? kama sikosei unadhani kwamba Amechemka Kiingereza alichotumia, kwa taarifa yako wewe ndio umechemka, hapo ametumia American English na ndio lugha ya wana hip hop wote duniani, by the way hiyo ni account yake binafsi na fans wake facebook.hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!
Wewe facebook account yako huwa anedit nani? kama sikosei unadhani kwamba Amechemka Kiingereza alichotumia, kwa taarifa yako wewe ndio umechemka, hapo ametumia American English na ndio lugha ya wana hip hop wote duniani, by the way hiyo ni account yake binafsi na fans wake facebook.
Why account yake iwe na hisa na watu wengine? Ur very wrong man.
Yes, the author of "MALARIA HAIKUBALIKI" and "ANTI-Virus"
Ur very wrong Man, tusikurupuke kuchangia vitu ambavyo hatuna ufahamu navyo, soma tena kwa makini yeye anataka jamii imtambuwaje? usilazimishe unachotaka wewe ili awe yeye, ndio ametoa hicho kitabu cha muziki na maisha, kutoka chokoraa mtaani mpaka mjengoni Dodoma, waliomchaguwa hawakuzifungia akili zao kabatini kama unavyo jaribu wewe kujiondowa ufahamu.Nafikiri jamaa ni public figure
the AUTHOR!
Kwaaaa kwa kwa kwaaa.
Wivu wa kike, mwanaume kuwa na wivu sijui nini maana yake!! wengi humu wanatamani mafanikio ya Sugu ila hawana uwezo hata wa kufikia robo ya pale alipofikia na hajashikwa mkono na Godfather, ndio maana Haters watabakia kumponda tu, na cha ajabu wakati ninyi mnamponda mwenzenu ndio anazidi kupanda!!Wewe ndio msemaji wa Sugu humu JF? Lini Sugu alikuwa chokoraa mtaani?
hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!
yes he is so what?Nafikiri jamaa ni public figure