Huyu ndio SUGU kama ulikuwa Humjui!!

the AUTHOR!

Kwaaaa kwa kwa kwaaa.
303945_10150333636602548_741272547_8205484_967795476_n.jpg
 
sugu ameweka historia ukiangalia alipotoka mpaka alipofika!!!!mwenyewe huwa nachukia sometimes ila nikifikiria sana nakuta namkubali kimoyomoyo!
 
Hamna mwenye hoja ya msingi katika kumchukia SUGU.....
Mtaa unakisubiri hicho kitabu!
ndg tayar kipo mtaan.we upo wap!!?unless otherwise kile nilichokiona kinauzwa pale round obout k/koo ni chakuchakachuliwa na kina ruge na backup yake.
 
the AUTHOR!

Kwaaaa kwa kwa kwaaa.

Unachoshangaa nini Bibi wewe?
Katafute wimbo wa DMX wa "Who will be (we don't know)" ndo utajua neno "the" linatumikaje!!!!
Hicho kiengereza chako cha shule ya msingi sio lazima kiwe hivyo
 
Anastahili kula gwala la nguvu kwa harakati na mafanikio yake kama kijana. Big up Sugu "kinegar original"
 
Anastahili kula gwala la nguvu kwa harakati na mafanikio yake kama kijana. Big up Sugu "kinegar original"
Mkuu watu wanaomponda Sugu wengi ni chuki za kisiasa(upuuzi!) na wengi zaidi ni wale waliomjua kwa "kumsikiasikia" enzi hizo akitamba kimuziki na sasa wamemfatilia baada ya mafanikio yake kisiasa! Hakuna msanii wa kizazi kipya aliyejitoa na kutoa mchango mkubwa ktk muziki huu kama Sugu.huyu bwana hajaanza harakati za kutetea vijana juzi,alianza kuisema serikali na uonevu wa polisi wazi kipindi hata wanasiasa wengi walikuwa waoga kufanya hivyo! Mnajua ujasiri huo alikuwa nao akiwa na umri gani? Mnajua Sugu ndie msanii mwenye albam nyingi kuliko msanii yeyote?(changanya na bendi).hata wasanii wengi wa zamani tunaowaheshimu leo walitamba zaidi na makundi e.g Diplomatz,GWM etc while Sugu alitikisa akisimama peke yake ndio maana nasema hakuna kama Sugu! Sugu alianza mpaka kuandaa seminar kwa wasanii wote ili wajue haki zao kabla hata ya Malaria no more wala kuwa mbunge! Kutetea wasanii ipo kwenye damu ya Sugu,ugomvi wake Ruge ni catalyst tu! Wale wanamchukia Sugu kisiasa sawa(wengi magamba) lakini najiuliza wewe msanii au mpenzi wa muziki kwanini tusimpe Sugu heshima yake? Wanamuziki vijana wajifunze nini kama si ujasiri wa Sugu? Kwa elimu yake ya kidato cha nne leo ameandika mpaka kitabu! Tunataka nini?
 
kutoa changamoto tu kwenu,Sugu ameanza harakati za kutetea vijana wazi kupitia muziki na hata mahojiano ktk press kabla ya Mnyika,Zitto,Nape,Bashe n.k! Tusimbeze jamani tuwaenzi ma legendary wetu! Siasa zisitupindue
 
kutoa changamoto tu kwenu,Sugu ameanza harakati za kutetea vijana wazi kupitia muziki na hata mahojiano ktk press kabla ya Mnyika,Zitto,Nape,Bashe n.k! Tusimbeze jamani tuwaenzi ma legendary wetu! Siasa zisitupindue
Sawa tunampongeza,kweli ni mfano wa kuigwa.Wenye wivu(wasijinyonge) bali wampokee Yesu waokoke...
 
Sugu alikuwa anapiga show miaka hiyo mpaka Tunduma tena sometimes akijitoa tu kuhamasisha vijana kutumia muziki kama ajira na kujitoa kwenye tabia za hatari! Wengi Wanaomzungumzia Sugu hawamjui!
 
Sugu alikuwa anapiga show miaka hiyo mpaka Tunduma tena sometimes akijitoa tu kuhamasisha vijana kutumia muziki kama ajira na kujitoa kwenye tabia za hatari! Wengi Wanaomzungumzia Sugu hawamjui!
Wanaombeza ni mafala tu wasiojuwa chochote kwenye Maisha, Sugu ni street fighter ameshinda majaribu mengi ambayo angekuwa mtoto wa mama usawa huu angesha surrender na kurudi kulima au kubeba box USA kwa maisha yake yote.

388397_199966816754221_100002227126081_422941_2079806760_n.jpg
 






  • [h=6]Joseph Mbilinyi
    [/h][h=6]TAARIFA:Kutokana na matakwa ya wengi mliowasiliana nasi toka Arusha,imebidi tubadilishe VENUE na siku ya CONCERT...sasa VINEGA wa ANTIVIRUS watakuwa kwenye grounds za TRIPPLE A siku ya JPILI tar 18 Dec kuanzia saa nane mchana mpaka kuchee...mpe taarifa mchizi wako,na kama kawa mwambie demu wako awaambie na mademu wenzake wapendeze na waje kwa wingi coz tumewatayarishia MI-SWAGGA ya KUFA MTU!![/h]


 
Back
Top Bottom