Huyu ndio rais anayetufaa

Huyu ndio rais anayetufaa

Tangu wamempa kashfa mwaka 2005 hawa wanamtandao wa magamba sidhani kama still he is interested with Tz politics.
 
Ni kweli lakini atoke kwanza uko aliko huna imani na yeyote aliye uko kwani hakuna msafi
 
du natamani topic ingekuwa "Hawa ndio Wapiga Kura wanaotufaa"

Version:1.0 StartHTML:0000000167 EndHTML:0000000818 StartFragment:0000000454 EndFragment:0000000802 Nakubaliana na wewe kaka,topic hiyo inafaa pia ungefungua thread na wewe ingekua poa sn...mbona wengine wanaweka thread za watu wanaowaamini nyingi tuu.



Ukweli utabaki palepale,mtanzania mwenye utu na upendo anawahitaji hawa Drz. Salim,Magufuli na Slaa ila mbinafsi atawapinga maana anajua wengi tutakuwa kama yeye.
 
Back
Top Bottom