Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
kwa kawaida miaka mitatu ni mingi sana kwa hiyo mmishazoeana kbs, so, usidhani yale aliyokuwa akikufanyia mwanzoni atayaendeleza kwa sasa.
Miaka mitatu si muda mfupi ktk mapenzi, kwa muda huo mtakuwa mmeshazoeana sana, mtoe out muee wawili tu umweleze uliyonayo moyoni kisha umsikilize atasema nini, unless umeshapata mwingine unatafuta sababu.
....wapo watakaokutusi kama ulivyotoa tahadhari, mimi si mmoja wao, nakupa ukweli wewe ndo tatizo, kama unataka kubembelezwa wewe unajua kubembeleza? Mambo ya sasa ni nikune nikukune.
jitu zima halilii linataka kubembelezwa uwe unalia ili ubembelezwe
hapa kajibu mkurya
Kaa naye mfundishe ni nini unataka na nini hutaki.
Kitandani pia mpe somo km unaona soo kumface mnunulie majalida atasoma.
Generally nenda naye taratibu
Si sahihi kuendelea kukaa na huyo loser.
Njoo kwa baller ule maisha.
Trips za South Beach (siyo ile ya Kigamboni, no no no), Rodeo Drive, shopping Buckhead na kila aina ya bata imaginable.
Jamaa hakupendi chapa lapa...
Watoto wa kike mkishakaribia umri ambao ninyi mnadhani ni wa kuolewa huwa mwawa wasumbufu mno...
Bi mkubwa mimi naamini kabisa kinachokusumbua ni fukuto la kuolewa, na sasa waanza kujiuliza kama upo na mtu sahihi au lah...
Kama ningelikuwa ndio huyo mwanaume wako, ningelikuambia mapema uchape lapa maana muda si mrefu unaweza kuumiza moyo wa huyo mwanaume...