UkomboziMpya
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 465
- 179
Habari wana JamiiForums mimi sio mwenyeji sana wa JamiiForums lakini ni mwenyeji pia kwa sababu huwa napenda sana kutembelea hii tovuti na kuchangia mada inaponibidi, kwahiyo kama niliivyoandika hapo juu sio mgeni hapa.
Niendelee tuu kwa kusema kuwa nimekua na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa tunaheshimiana kwa hilo nashukuru, kwa kawaida ndani ya huo muda wa miaka hiyo hatujawahi kuwa na ugomvi ambao ukapelekea penzi letu kuisha, la hasha!! Lakini kuna matatizo ambayo huninyima raha kama binti ninaejitambua na kujielewa, kwanza mpenzi wangu;
*Hajui kuCare, namanisha huwa hashitushwi na matatzo yangu tena madogo tu
*Hawezi kunibembeleza; kama binti kuna muda nafeel kufanywa kama mtoto na mpenzi wangu..lakini hakuna hicho kitu sasa cjui hawezi au ananifanyia mm, cjui
*Kitandani c mjuzi saana anajitahidi lakin wapii
*Hana wivu na mimim; hata anikute nakiss na man (french kiss) nikimwambia just a friend huwa haniulizi twice (huu mfano tuu)
*Hana tabia ya kukaa na mimi na kuongea kuhusu mambo yajayo kimaisha (future) kitu ambacho kinaniumiza sana naishije na mtu ambaye hajui hata kesho yake?
*Ku-spend zaidi ya uwezo just like ponda mali kufa kwaja
*Hana support ya maana hata kwa jambo la maana kwetu sote
Wapendwa nimechoka kuandika, ila please naombeni ushauri wenu msinitusi, kunikejeli na kudhihaki, mnishauri ni sahihi kuendelea kuwa nae au nianzishe ukurasa mpya wa kwangu binafsi?
Nampenda ila naweza kuishi bila yeye.
Karibuni.
Ni pm namba yako mrembo mtoto mashallah mahabuba masharat ......yote hayo yameshalipiwa tayari. Eeehhhhh mtoto mtoto nakumbia utafaudu hadi rahaaaaa mwenyewe utajionea!
Ahsante sana mrembo !