Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,655
- 3,216
Ok!!! umesema kwa mwaka 800k wanafariki, kwa upande wa maambukizi ikoje¡¡¡ maana mimi kupitisha mwaka bila malaria sikumbuki mara ya mwisho ni lini...Weka swali lako vizuri
Ok!!! umesema kwa mwaka 800k wanafariki, kwa upande wa maambukizi ikoje¡¡¡ maana mimi kupitisha mwaka bila malaria sikumbuki mara ya mwisho ni lini...Weka swali lako vizuri
Hapana nimeuliza tuunataka kunipangia cha kuandika hapa Jf
Duh! inatakiwa aangamizwe huyu jamaa, maana dose yenyewe ina vidonge 24 kwa miseto.... hapa sini kujaza tu sumu mwilini plus paracentamol..300m kwa mwaka Dunia kote
kwamba hutaki hataNikiwaga na mtoto mzuri huwa hawaji kabsa sababu naweka net
Au fumigation na kukata bushes around the house,kufukia madimbwi ya maji...nkKuna mahala nilisoma, kwamba mamba au Simba akiua mtu mmoja inaleta habari ila mtu sasa, anaua kila dakika ila sio habari. Tunawachukulia poa sana hawa wadudu. Ni Bora ununue zile dawa za kuchoma za mia mia, kama huwezi kulala na neti, mbu sio poa.
Weka hiyo ego pembeni, you're not that specialsiruhusu maswali.
akienda tunauana na mbu kwa makofi ambayo siyo saiz yakekwamba hutaki hata
mtoto mzuri asikieihata mlio wa mbu!!! ila akienda.....?