Kivipi?Kutokana na uwezo wao mkubwa wa kusababisha vifo, kwa kueneza malaria mdudu huyu mdogo anayeruka ameathiri sana mwenendo wa historia ya binadamu mara kadhaa, ikiwemo kuwa na nafasi muhimu katika uhuru wa Marekani pamoja na kuinuka na kuanguka kwa himaya ya Roma.
ananifanya ninywe midawa karibu mara 5 kwa mwaka!Huua watu 800k kwa mwaka
View attachment 3665414
Yes mkuu niko hapa
Na ambavyo sipendi kulala kwenye net,... wanatamba tu!Aise
Mjomba tumia neno "anasababisha..." ili kuondoa ukakasi kwenye maelezo yako. Dunia imebadilika hii mjomba.ananifanya ninywe midawa karibu mara 5 kwa mwaka!
Hahahahaaa hii ni omission au contradiction mjomba?Mjomba tumia neno "anasababisha..." ili kuondoa ukakasi kwenye maelezo yako. Dunia imebadilika hii mjomba.
ok.🐒Huua watu 800k kwa mwaka
View attachment 3665414
Mjomba hii ni contadiction ya wazi kabisa kutoka kwa shahidi. 😀Hahahahaaa hii ni omission au contradiction mjomba?
Ok!!! KWA takwimu za wagonjwa zikoje mkuu...Weka mazingira safi Fanya fumigation inasaidia
Hebu waeleze wana jf... maana ya "kufanya" na "kusababisha"Mjomba hii ni contadiction ya wazi kabisa kutoka kwa shahidi.