Huyu ndio ameshinda Taji la Miss Kyelwa 2021

Screenshot_20210613-201459.jpg
 
Ukimzoom ni mzuri sana (Maa Shaa Allah) tena natural beauty, ni mavazi tu ndio yamemfanya watu kumuona hafai lakini atapata sponsor atampiga 'sopu sopu', nyote humu mtasema apewe uMiss Tanzania.
 
Ukimzoom ni mzuri sana (Maa Shaa Allah) tena natural beauty, ni mavazi tu ndio yamemfanya watu kumuona hafai lakini atapata sponsor atampiga 'sopu sopu', nyote humu mtasema apewe uMiss Tanzania.

Kweli Kabsa... Mavazi na make up ndo zimemnyima point tatu. Enewei Hongera sana kwa Mlimbwende Kutoka Kyelwa
 
Yuko poa tu,izo ndo flat screen kienyeji og mbunye bado ya moto aijachoka.
 
Ana sura nzuri.

Miguu mizuri. Ina uwazi ambao Beyonce ilibidi afanye upasuaji ili aupate.

Anatabasamu vizuri.

Viatu tu ndiyo miyeyusho.

Fact: Katika wimbo wa Dirty Diana wa Michael Jackson alitoa kigezo cha kumchagua video queen kiwe miguu mizuri. Ndiyo maana ile video kilichoonekana muda wote ni miguu. Sura ikaja mwishoni.

Miguu ya huyu Miss Talent ndiyo miguu ya yule video queen.
 
Back
Top Bottom