Huyu ndie Rais watanzania tunaemuhitaji

Huyu ndie Rais watanzania tunaemuhitaji

Si mwingine bali ni yule atakaefanya haya:-
1.Atakaetupa katiba mpya
2.Atakaerudisha Bunge live
3.Atakaerudisha fao la kujito
4.Atakaefuta makato ya asimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo
5.Atakaeshusha PAYE
6.Atakaefuta vigezo vya utoaji wa mikopo kwa kuangalia aina ya kozi,ufaulu au familia anayotoka muombaji
7.Atakaetunga sheria ya kuongeza mishahara ya watumishi kila mwaka wa fedha mbali na hii annua increment
8.Atakaetoa kipaumbele kwenye kilimo
9.Atakaekuja na sera ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
10.Ataekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa watumishi waliofukuzwa kwa kuwa na vyeti feki maana wana mchango wa kwa Taifa hili.
11.Atakaekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa waathirika wa bomoabomoa waliovunjiwa nyumba zao kimakosa
12.Atakaekuja na mpango maalumu wa kibajeti wa kuondoa shule za nyasi na tope maeneo yote ya vijijjini.
13.Atakaeanzisha mfuko wa maji vijijjini.
14.Atakaesitisha ununuzi wa mashangingi kwa ajili ya viongozi
15.Atakaeiondoa serikali kwenye uendeshaji na umiliki wa ATCL
16.Atakaetengeza fursa za ajira serikalini.
17.Atakekuwa na sera rafiki kwa ustawi wa sekta binafsi.
18.Atakaerudisha utaratibu wa serikali kuendeshwa kwa uwazi na kuufanya kuwa ni wa kisheria.
19.Atakaebadili sheria kuiwezesha TAKUKURU kushitaki bila kusubiri kibali cha DPP na kumfanya mkurugenzi wa TAKUKURU asiwe mteule wa Raisi.
20.Atakaebadili sheria na kumuwezeshaa CAG kumshitaki mahakamani CE wa taasisi yoyote ya serikal atakaebainika kutumia vibaya fedha za umma.
21.Atakaekuja na sheria itakayoiwezesha ofisi ya CAG kuwa na vyanzo vyake mahususi vya mapato bila kutegemea bajeti ya serkalI kama ilvyo EWURA, TCAA,n.k.
22.Atakaebadili sheria ya Jeshi la Polisi lisitambulike kama Jeshi bali kiwe ni chombo cha kutoa service kwa wananchi.
23.Raisi atakaekuja na sheria au mpango wa kufuta sitting allowance za wabunge.
24.Raisi atakaekuja na sheria inayotaka mikataba yote ipate ridhaa ya Bunge.
25.Raisi atakaekuja na sheria inayozuia serikali kukopa bila kushirkisha Bunge unless kumetokea dharura kama Taifa kuingia vitani,n.k
26.Raisi atakaeshirikisha wadau wa ellimu nchi nzima ambao watatunga sera ya elimu na serikali nayo kutengeneza sheria itakayozuia kila kiongozi kuja na sera yake ya elimu.

Kiongozi wa aina hii ndio atakaeweza kuibadili Tanzania na maisha ya watanzania kwa ujumla iwapo atapata wasaidi wazuri na yeye mwenyewe akawa commited.

Hakuna hata moja lililo gumu hapo zaidi ya uzalendo,nia na utayari wa kiongozi muhusika tu..
Tundu Antipas Lissu
 
Na maendeleo ya kweli pia yatasubiri sana.
Maendeleo ya kweli ni yapi?
Wewe huna jema mpaka utapokwenda Kuzimu.
Nimesoma threads zako nyingi za nyuma nimeona jinsi ulivyomnafiki, ulimsakama sana Jk, sasa umehamishia unafiki wako Kwa magu.
Nakuhakikishia mimba atakayokupa Magufuli lazima umzalie watoto mapacha wote wa kiume, ni suala la muda tu
 
Wewe jamaa unatumia nguvu nyingi sana nyuma ya keyboard, hebu zitumie kulima hata bustani ujikwamue kimaisha!

Hizi nadharia zako zinakufanya utumie mda wako kuziandaa bahati mbaya hakuna unayemnufaisha!!
 
Tatzo lako unatumika kuandika MAMBO YA KIBHANGI kila siku na ndio maana kutwa nzima,MASAA 24 humo humu kuandika UZUZU
Naona kuna kitu kama kinakuchoma makalioni mpaka unaona huu uzi wa kizuzu pumbavu sana.
 
Si mwingine bali ni yule atakaefanya haya:-
1.Atakaetupa katiba mpya
2.Atakaerudisha Bunge live
3.Atakaerudisha fao la kujito
4.Atakaefuta makato ya asimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo
5.Atakaeshusha PAYE
6.Atakaefuta vigezo vya utoaji wa mikopo kwa kuangalia aina ya kozi,ufaulu au familia anayotoka muombaji
7.Atakaetunga sheria ya kuongeza mishahara ya watumishi kila mwaka wa fedha mbali na hii annua increment
8.Atakaetoa kipaumbele kwenye kilimo
9.Atakaekuja na sera ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
10.Ataekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa watumishi waliofukuzwa kwa kuwa na vyeti feki maana wana mchango wa kwa Taifa hili.
11.Atakaekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa waathirika wa bomoabomoa waliovunjiwa nyumba zao kimakosa
12.Atakaekuja na mpango maalumu wa kibajeti wa kuondoa shule za nyasi na tope maeneo yote ya vijijjini.
13.Atakaeanzisha mfuko wa maji vijijjini.
14.Atakaesitisha ununuzi wa mashangingi kwa ajili ya viongozi
15.Atakaeiondoa serikali kwenye uendeshaji na umiliki wa ATCL
16.Atakaetengeza fursa za ajira serikalini.
17.Atakekuwa na sera rafiki kwa ustawi wa sekta binafsi.
18.Atakaerudisha utaratibu wa serikali kuendeshwa kwa uwazi na kuufanya kuwa ni wa kisheria.
19.Atakaebadili sheria kuiwezesha TAKUKURU kushitaki bila kusubiri kibali cha DPP na kumfanya mkurugenzi wa TAKUKURU asiwe mteule wa Raisi.
20.Atakaebadili sheria na kumuwezeshaa CAG kumshitaki mahakamani CE wa taasisi yoyote ya serikal atakaebainika kutumia vibaya fedha za umma.
21.Atakaekuja na sheria itakayoiwezesha ofisi ya CAG kuwa na vyanzo vyake mahususi vya mapato bila kutegemea bajeti ya serkalI kama ilvyo EWURA, TCAA,n.k.
22.Atakaebadili sheria ya Jeshi la Polisi lisitambulike kama Jeshi bali kiwe ni chombo cha kutoa service kwa wananchi.
23.Raisi atakaekuja na sheria au mpango wa kufuta sitting allowance za wabunge.
24.Raisi atakaekuja na sheria inayotaka mikataba yote ipate ridhaa ya Bunge.
25.Raisi atakaekuja na sheria inayozuia serikali kukopa bila kushirkisha Bunge unless kumetokea dharura kama Taifa kuingia vitani,n.k
26.Raisi atakaeshirikisha wadau wa ellimu nchi nzima ambao watatunga sera ya elimu na serikali nayo kutengeneza sheria itakayozuia kila kiongozi kuja na sera yake ya elimu.

Kiongozi wa aina hii ndio atakaeweza kuibadili Tanzania na maisha ya watanzania kwa ujumla iwapo atapata wasaidi wazuri na yeye mwenyewe akawa commited.

Hakuna hata moja lililo gumu hapo zaidi ya uzalendo,nia na utayari wa kiongozi muhusika tu..
Mliwahi kusema mnahitaji Rais dikteta.
 
hahahahaha wewe lazima uwehuke

Tayari keshawehuka huyo!

Angalia namba 7. Eti anataka rais atakayetunga sheria ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi kila mwaka wa fedha!

Toka lini rais akawa ni mtunga sheria?
 
Labda malaika
 
7.Atakaetunga sheria ya kuongeza mishahara ya watumishi kila mwaka wa fedha mbali na hii annual increment kwa kuweka walau minimum ya percent ya kuongeza kwa kima chini cha mshahara.
8.Atakaetoa kipaumbele kwenye kilimo
9.Atakaekuja na sera ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
10.Ataekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa watumishi waliofukuzwa kwa kuwa na vyeti feki maana wana mchango wa kwa Taifa hili.
11.Atakaekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa waathirika wa bomoabomoa waliovunjiwa nyumba zao kimakosa
12.Atakaekuja na mpango maalumu wa kibajeti wa kuondoa shule za nyasi na tope maeneo yote ya vijijjini.
13.Atakaeanzisha mfuko wa maji vijijjini.
14.Atakaesitisha ununuzi wa mashangingi kwa ajili ya viongozi
15.Atakaeiondoa serikali kwenye uendeshaji na umiliki wa ATCL
16.Atakaetengeza fursa za ajira serikalini.
17.Atakekuwa na sera rafiki kwa ustawi wa sekta binafsi.
18.Atakaerudisha utaratibu wa serikali kuendeshwa kwa uwazi na kuufanya kuwa ni wa kisheria.
19.Atakaebadili sheria kuiwezesha TAKUKURU kushitaki bila kusubiri kibali cha DPP na kumfanya mkurugenzi wa TAKUKURU asiwe mteule wa Raisi.
20.Atakaebadili sheria na kumuwezeshaa CAG kumshitaki mahakamani CE wa taasisi yoyote ya serikal atakaebainika kutumia vibaya fedha za umma.
21.Atakaekuja na sheria itakayoiwezesha ofisi ya CAG kuwa na vyanzo vyake mahususi vya mapato bila kutegemea bajeti ya serikali kama ilvyo EWURA, TCAA,n.k ili aweza kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
22.Atakaebadili sheria ya Jeshi la Polisi lisitambulike kama Jeshi bali kiwe ni chombo cha kutoa service kwa wananchi.
23.Raisi atakaekuja na sheria au mpango wa kufuta sitting allowance za wabunge.
24.Raisi atakaekuja na sheria inayotaka mikataba yote ipate ridhaa ya Bunge.
25.Raisi atakaekuja na sheria inayozuia serikali kukopa bila kushirkisha Bunge unless kumetokea dharura kama Taifa kuingia vitani,n.k
26.Raisi atakaeshirikisha wadau wa ellimu nchi nzima ambao watatunga sera ya elimu na serikali nayo kutengeneza sheria itakayozuia kila kiongozi kuja na sera yake ya elimu.

Kiongozi wa aina hii ndio atakaeweza kuibadili Tanzania na maisha ya watanzania kwa ujumla iwapo atapata wasaidi wazuri na yeye mwenyewe akawa commited.

Hakuna hata moja lililo gumu hapo zaidi ya uzalendo,nia na utayari wa kiongozi muhusika tu..
Atakayekemea na kusitisha utekaji na mauaji .
 
Umesahau moja

RAIS atakaye ondoa kinga ya kushtakiwa kwa Rais, akiwa madarakani, akisha maliza muda wake na wote walioshika nyazifa zenye kinga ya kushtakiwa.
 
Back
Top Bottom