Huyu ndie Rais watanzania tunaemuhitaji

Huyu ndie Rais watanzania tunaemuhitaji

Salary Slip unaota,hata chadema wakishika dola hawatatunga sheria ya kupandisha mshahara kila mwaka
Mnaposikia nchi za wenzenu raia wake wana furaha, msidhani ni hivi hivi tu.
 
MBOWE/LEMA/MNYIKA:"Tunataka raisi Dikteta",sasa huyu ooh..mkali sana tunataka mpole mwenye ngozi nyololo,raisi wangu Magufuli shikilia hapo hapo.
 
Si mwingine bali ni yule atakaefanya haya:-
1.Atakaetupa katiba mpya
2.Atakaerudisha Bunge live
3.Atakaerudisha fao la kujito
4.Atakaefuta makato ya asimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo
5.Atakaeshusha PAYE
6.Atakaefuta vigezo vya utoaji wa mikopo kwa kuangalia aina ya kozi,ufaulu au familia anayotoka muombaji
7.Atakaetunga sheria ya kuongeza mishahara ya watumishi kila mwaka wa fedha mbali na hii annua increment
8.Atakaetoa kipaumbele kwenye kilimo
9.Atakaekuja na sera ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
10.Ataekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa watumishi waliofukuzwa kwa kuwa na vyeti feki maana wana mchango wa kwa Taifa hili.
11.Atakaekuja na mpango wa kutoa kifuta machozi kwa waathirika wa bomoabomoa waliovunjiwa nyumba zao kimakosa
12.Atakaekuja na mpango maalumu wa kibajeti wa kuondoa shule za nyasi na tope maeneo yote ya vijijjini.
13.Atakaeanzisha mfuko wa maji vijijjini.
14.Atakaesitisha ununuzi wa mashangingi kwa ajili ya viongozi
15.Atakaeiondoa serikali kwenye uendeshaji na umiliki wa ATCL
16.Atakaetengeza fursa za ajira serikalini.
17.Atakekuwa na sera rafiki kwa ustawi wa sekta binafsi.
18.Atakaerudisha utaratibu wa serikali kuendeshwa kwa uwazi na kuufanya kuwa ni wa kisheria.
19.Atakaebadili sheria kuiwezesha TAKUKURU kushitaki bila kusubiri kibali cha DPP na kumfanya mkurugenzi wa TAKUKURU asiwe mteule wa Raisi.
20.Atakaebadili sheria na kumuwezeshaa CAG kumshitaki mahakamani CE wa taasisi yoyote ya serikal atakaebainika kutumia vibaya fedha za umma.
21.Atakaekuja na sheria itakayoiwezesha ofisi ya CAG kuwa na vyanzo vyake mahususi vya mapato bila kutegemea bajeti ya serkalI kama ilvyo EWURA, TCAA,n.k.
22.Atakaebadili sheria ya Jeshi la Polisi lisitambulike kama Jeshi bali kiwe ni chombo cha kutoa service kwa wananchi.
23.Raisi atakaekuja na sheria au mpango wa kufuta sitting allowance za wabunge.
24.Raisi atakaekuja na sheria inayotaka mikataba yote ipate ridhaa ya Bunge.
25.Raisi atakaekuja na sheria inayozuia serikali kukopa bila kushirkisha Bunge unless kumetokea dharura kama Taifa kuingia vitani,n.k
26.Raisi atakaeshirikisha wadau wa ellimu nchi nzima ambao watatunga sera ya elimu na serikali nayo kutengeneza sheria itakayozuia kila kiongozi kuja na sera yake ya elimu.

Kiongozi wa aina hii ndio atakaeweza kuibadili Tanzania na maisha ya watanzania kwa ujumla iwapo atapata wasaidi wazuri na yeye mwenyewe akawa commited.

Hakuna hata moja lililo gumu hapo zaidi ya uzalendo,nia na utayari wa kiongozi muhusika tu..
Kwa hiyo hata kama akiwa mla rushwa na fisadi kwako sawa tu?
 
Umesahau mambo muhimu, tunataka Rais atakayetupa maziwa na asali kila siku saa mbili asubuhi, Rais atakayetuchekea muda wote, Rais atakayetukaribisha kwa juice Ikulu kila mwisho wa mwezi.
 
Hizo Waswahili tunaita ndoto za alinacha!
 
Duh! Huyo atakuwa malaika; bila mawaa na hivyo hawezi kuwa ameshazaliwa na mwanamke!
 
katimize majukumu ya familia yako ndipo umtake rais afanye yote ayo. #stres_za_kutumbuliwa
 
Tatzo lako unatumika kuandika MAMBO YA KIBHANGI kila siku na ndio maana kutwa nzima,MASAA 24 humo humu kuandika UZUZU
ww ndo zuzu,mwenzako anajenga hoja ww unatukana,hujui kitu ni mehemko ya kijinga ndo inakusumbua.
 
Back
Top Bottom