Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,689
When a woman loves......Hizo ni tetesi zenye ukweli 90%
Mipango yote kuanzia kwenye dola, chamani mpaka kanisani iko sawia,
Ni hakika the next is Bashungwa,
Sifa kubwa ya Bashungwa ni Mzalendo na hana harufu yoyote ya rushwa,
Kila lenye heri Mhe Bashungwa.