Huyu ndie Miss Tanzania!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,054
24,440
Huyu siyo sista duu, hakujali nzi, shombo wala uchafu!
Hakika si mtu wa mchezo mchezo...!!
8aeabba5f40140d063d4ca337d95afcb.jpg
 
Kwani miss Tanzania huwa inakuwa na vigezo gani mpaka uwe mshindi?
 
Mbona anaonekana alitaka apigwe picha akifanya hivyo, maana jicho lote kwenye kamera.
Busu halioneshi hisia kwa anayebusiwa ati.
 
Yeye mwenyewe ni wa huko (MMasai) kwahiyo anafanya kuwasaidia ndugu zake.
 
Back
Top Bottom