Huyu ndie Miss Rwanda...

Huyu ndie Miss Rwanda...

🚶🚶🚶🚶asante sana sitti mtemvu kwa kuvua taji subiri mwakan ushiriki bibi bomba vigezo vyote unavyo una nafasi kubwa ya kushinda na kuitangaza nchi!!! Kila la kheri asante kwa kushiriki ubarikiwe sana

HATUJAISHIA APO MOVIE BDO INAENDELEA- mpk kieleweke

MISS TANZANIA PART 2.

Baada ya kuvuliwa taji aliyekuwa miss Tanzania Sitti mtemvu kwa kughushi umri...nafasi ya miss Tanzania imenyakuliwa na Mshindi wa pili Lilian Kamaziama...lk mshindi huyu wa pili naye inasemekana sio raia wa Tanzania ni mnyarwanda. LILIAN nini mtoto wa generali wa jeshi KAMAZIAMA....ambaye inasemekana sio mtanzania ni mnyarwanda na mmoja wa makamanda na jasusi wa jeshi la kinyarwanda aliyepenyezwa na raisi Kagame. ....

Sasa wewe Lilian ki roho safi km kuna lolote umelificha tunaomba u pasi hcho kijiti kwa anaefuata kbla hutujaanza kufichua na mengne ambyo hayajulikani!...yaliyompata mwenzio nazan umejionea mwenyewe--

Ata km taji anastail mshindi namba kumi atalipata tu...tutapita kwa mmja mmja -HAKI mwanzo mwisho-----

Ndoto za maendawazimu! Mwaga vielelezo! Wenzako tulikuwa na source hadi kwa Obama wewe jee? Hahahahaha @ laki si pesa
 
Na ntakikisha dem wangu hamumfanyi kitu, never give up! Ma.nina zenu akina laki so hela
 
View attachment 200538
Amependeza, na ninategemea ametimiza vigezo vyote vinavyotakiwa (elimu, umri, urefu, kutokuwa na ndoa, kutokuwa na mtoto nk); siyo kama huyu wa kwetu aliyekuwa na sifa za kuunga unga au kuungwa ungwa na waandaaji.
 
Nilipoona hili tusi nikaangalia una post ngapi! Ziko 20..! Jifunze kukubali maoni ya wengine hata kama hayakufurahishi, kwa njia hiyo utajifunza kuwa great thinker la sivyo utaishia kuwa mpayukaji na mtukanifu na mwisho wa yote ni life ban mng'ato

Hahah pokea like!
 
Last edited by a moderator:
ni mzuri sana siyo kama yule bibi sitti
 
Nadhani hilo neno la tafsida nililotumia ndo linawachanganya,next tym ntatumia lile lenyewe!
mng'ato JF sio mahali pa matusi kejeli na lugha za kashfa haipendezi hata kidogo hata kama ni maskhara
 
Last edited by a moderator:
Aisee anastahili. Lakini si ajabu warwanda wakamkataa kwamba ni mweupe mno
kwa hiyo si raia wa ruanda!

Hapana. Ana mabaka meusi. Kuza picha uone. Nafikiri ni mchubuo. Si kawaida kwa wanyarwanda. Kawaida yao ni natural. Michubuo tumeizoea kwa wanyamwezi wetu.
 
Back
Top Bottom