huyu ndie Idd ninga.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,208
4,406
Amani iwe juu yenu wote na baraka zake mungu.
kama ilivyoada huwa sipendi kujificha kujieleza mbele ya jamii kwani naamini kuwa mimi ni muhimu ktk jamii na ninapaswa kuitendea mema jamii yangu.
jina langu halisi ni Idd Ninga ninaishi mkoani Arusha .
huwa napenda sana kuyaheshimu mawazo ya mtu yeyote bila ya kutaza jinsi,dini,rangi,kabila wala umri wake kwani kwangu kila binadamu ni sawa.
kipaji changu ni sanaa ya maigizo,utunzi wa hadithi na mashairi ambayo baadhi nimekuwa nikiyaweka humu ktk jf kwenye jukwaa la lugha na malengo yangu ni kuja kuandika kitabu cha ushairi,ningependa sanaa kuona baadhi ya post zangu za mashairi zikiambatanishwa na post hii.
mara nyingi napenda kusoma kila post iliyomu humu jf ili niweze kupata mawazo mapya.
nakaribisha swali lolote kuhusu mimi na nitalijibu kwa dhati yangu.
Idd Ninga .
 
Last edited by a moderator:
mkuu una elimu level gani????

primary

ila usishangae kukwambia kuwa fani yangu ni utalii kwani nikijiendeleza na masomo mpaka kufikua ujuzi wa lugha tatu
hivyo huwa nawashauri sana vijana wengi kufata yale niloyafanya
nadhani mwakani panapo uzima nitakuja na uzi utakaoelezea jinsi ya kupiga hatua kama nilivyofanya hadi kuwa na uwezo wa kufundisha mtu aliepo chuo.
tuombeane uzima
ni story ya ajabu kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom