Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,813
- 1,629
Jamaa amekuta maandishi yakimsihi asikojoe ovyo
Akaamua kuipaisha penalty
Akaamua kuipaisha penalty
Samu ni nini?Baba wa Mapaka ujue mapaka yako yameshawekewa samu humu.sijui yakichawi
Utoto raha sanaamenikumbusha mbali, zamani tulikua tunashindana kurusha juu ya bati ionekane vyua inanyesha.
Miaka 22+ ukiweza kupaisha mkojo hivyo basi wewe bado una nguvu.
Nilipokuwa na miaka 20 nilijaribu kupaisha mkojo hivyo juu nikashindwa, nikajua tayari hapa nimeshazeeka.
tunayaua leoBaba wa Mapaka ujue mapaka yako yameshawekewa sumu humu.sijui yakichawi
Ila inaonekana ulimbana sana aiseeYuko vizur