Huyu naye ni great thinker

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,813
1,629
Jamaa amekuta maandishi yakimsihi asikojoe ovyo
Akaamua kuipaisha penalty
FB_IMG_1532579014644.jpg
 
amenikumbusha mbali, zamani tulikua tunashindana kurusha juu ya bati ionekane vyua inanyesha.
 
Miaka 22+ ukiweza kupaisha mkojo hivyo basi wewe bado una nguvu.

Nilipokuwa na miaka 20 nilijaribu kupaisha mkojo hivyo juu nikashindwa, nikajua tayari hapa nimeshazeeka.

Kama Miaka 20 ulishindwa uliweza ukiwa Na Miezi mingapi?
 
huyu jamaa kanikumbusha enzi hizo nilikuea nakojoa kwenye ukuta ila mkoja lazima usike kwenye lenta ila now sijajaribu ngoja nikatest mitambo
 
Back
Top Bottom