Huyu Nae......

kwani nini asitii sheria bila shuruti?
 
Wamembeba kiustaarabu sana. Ingekuwa bongo angeisoma namba. Ili amejichanua balaa
 
akiendelea kubisha atachanika msamba
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kubebwa na polisi wa kike ni raha jamani, hata kama ningekuwa mimi ningeleta ubishi wanibebe
 
kashikwa na watoto laini sana huyu..
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kubebwa na polisi wa kike ni raha jamani, hata kama ningekuwa mimi ningeleta ubishi wanibebe
Huyu ni ke mkuu ndio maana kabebwa ke wenzie
 
Kweli ilikua mbilinge,
Mpk maafande vifungo vimefunguka! Duuh
 
Hii ilikuwa juzi Cuba wanapinga utawala wa Castro, hivyo waliandamana wakati Obama alipoenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…