Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Samahan kdg mkuu ila bado sijaridhika naomba unipe zile taratibu au labda niseme requirements za mtu kuteuliwa kuwa Nabii katik Ukristo ni zipi ? Au wanajiamulia wenyew ?
Au wanasomea chuoni na kupewa Unabii, mwenye anaelew na ameelewa swali langu naomba anijibu.

Coz saiz manabii wamekua wengi mnooo, wengi sana.

Tukishajua requirement za mtu kua nabii kwa mujib wa biblia nd tutajua fulani ni nabii au sio nabii wa kweli.

Nawasilisha.
Nabii ni mtu ambaye anapewa unabii na mungu kwaajili ya kuuwasilisha kwa binadamu kwa madhumuni mbalimbali ikiwamo kuhabarisha, kuwaonya, kutoa maagizo ya mungu n.k

Kama umesoma biblia vizur manabii karibia wote hawakuwahi kujiita manabii au kujinadi kuwa wao ni manabii, mfano manabii kama akina Elia, Mussa na Isaya walikuwa wanafata watu kisha wanawahubiria, wanawapa maagizo ya mungu na kuwaambia kitakacho tokea kama wasipo fata hayo maelekezo, kisha huondoka na kuendelea na mambo yao, baada ya kuondoaka watu ndo huwa wanaanza kuwaita manabii, utasikia "nabii yeremiah alikuja akatuambia hivi" au "yule jamaa nadhani ni nabii maana ametupa maagizo ya mungu", kiufupi hawakuwahi kujinadi au kujipa title yeyote wala kudai sadaka za watu, wao wenyew walifanya kazi ili kujikimu, utakuta watu ndo huwa wanawapelekea chakula kwa upendo tuu.

Nabii hujikita zaidi kuwarudisha waovu kwa mungu, hubeba ujumbe unao waasa watu kumrudia mungu, matendo yake, maneno yake, ujumbe wake na muonekano wake humtukuza mungu, ukiona hana hizi sifa bac jua umepigwa.

Na ukiona anajinadi kwamba anayaelewa maandiko kuliko watu wengine bac jua pia umepigwa, maana mungu katupa binadamu wote uwezo wa kusoma maandiko na kuyaelewa kwa kupitia roho mtakatifu.
 
Mjitafakari sana ndugu zetu nambo ya utume na unabii
Yalishakoma kitambo sana.
 
Kuna kizazi Cha walokole wa kuanzia miaka ya 2000 kupanda wabishi na wajuaji wao hata ushoga wanakubali na kulazimisha . Na vimaswali vyao imeandikwa wapi kwenye Biblia. Na hili kizazi Cha wachora tattoo miaka ishirini ijayo kitakiwa ndio kimeliua kanisa. Nawapenda Waislamu waliyoweka discipline kwenye misikiti yao, sio sisi shoga anaitwa Nabii.
Mzee Kanisa halitakufa kwani mwenye Kanisa yu hai na ameahidi kuwa amelijenga kanisa lake juu ya mwamba na Malango ya Kuzimu hayatalishinda. Hizi drama za hao Vijana hazitaliua Kanisa kwa namna yoyote. Watapita kama Upepo Mkuu kwani walikuwepo wenye drama za namna hiyo toka enzi na Enzi na Kanisa bado lipo ngangari.
 
Wapo manabii kwenye biblia kabla hawampokea kristo huko nyuma maisha yao hayakumpendeza Mungu
Mfano musa aliua kule misri lakini baada ya kuteuliwa yeye ndio alipewa agano la amri kumi za Mungu na aliendelea kuishi maisha yakumpendeza Mungu baada ya kuitwa kwenye wokovu

Mtume paulo aliuwa watu wengi alimpompokea kristo aliishi maisha ya kumpendeza Mungu mpaka kifo chake

Je huyu nabii kwa huo muonekano wake vipi
sisi Kwenye Dini Yetu Inaelezwa Kuwa Manabii Ni Watu Waliolindwa Dhidi Ya Machafu Kabla Hata Ya Kupewa Unabii Mungu Hakuwa Anachukua Tu Wahun Wahun Kama Paulo Na Kuwapa Utume.Allah Anajua Kuwa Huyu Anaenda Kuwa Nabii Lazma Awe Mtu Mwema Toka Utoto Wake Kama Mfano Ili Iwe Rahisi Watu Kumwamini.Au Sijui Kwenu Mnatafsiri Nabii Ni Nani Maana Kila Mtu Nabii
 
Wale manabii wa uongo waliotabiliwa ndio kama huyo mpumbavu, Huyo ni mwendawazimu kama wendawazimu wengine na wote wanao msikiliza ni wendawazimu kama yeye tuu
 
Tapeli hu
Mjadala upo amejadiliwa sana huyu nabii, wanasema ni mzimbabwe na jinsi alivyo ni utamaduni wa wandebele kuwa hivyo wala haishangazi. Sisi watanzania kwa imani yetu hatukubaliani na muonekano wake tunamuona kama wakala wa shetani. Avae haiba inayoendana na mila na desturi za kikristo, bora hata angevaa kanzu na kuachia madevu
tapeli huyu bhnaa
 
Samahan kdg mkuu ila bado sijaridhika naomba unipe zile taratibu au labda niseme requirements za mtu kuteuliwa kuwa Nabii katik Ukristo ni zipi ? Au wanajiamulia wenyew ?
Au wanasomea chuoni na kupewa Unabii, mwenye anaelew na ameelewa swali langu naomba anijibu.

Coz saiz manabii wamekua wengi mnooo, wengi sana.

Tukishajua requirement za mtu kua nabii kwa mujib wa biblia nd tutajua fulani ni nabii au sio nabii wa kweli.

Nawasilisha.
Mh kwani dini nyingine utaratibu ni upi si huo huo kama Ukristo! Mtu anasema kaongea na Mungu ni juu yenu kuamini ni kweli au la!
 
Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa

Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado

Swali

Je muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani

Picha ya manabii hi hapa chini.

3View attachment 2836695
Miguu utadhani ya kware. Bladifaken haiwezekani Yesu kudhalilishwa kizembe kizembe namna hii lazima pachimbike.
 
Tap
Mh kwani dini nyingine utaratibu ni upi si huo huo kama Ukristo! Mtu anasema kaongea na Mungu ni juu yenu kuamini ni kweli au la!
Tapeli huyo
Walawi 19:28 NEN
“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi BWANA.
Kwanin huyu tapeli ajapewaa Hili andiko Happ wasafi
 
Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa

Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado

Swali

Je, muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani

Picha ya manabii hi hapa chini.

View attachment 2836696View attachment 2836695
Mambo yenu wa Dar hayo.. pambaneni nayo.
 
Back
Top Bottom