mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 576
Ivi wanaoenda kwenye iyo mikutano kichwani zinachaji kweli au wanakuwa washalogwaIko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa
Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado
Swali
Je, muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani
Picha ya manabii hi hapa chini.
View attachment 2836696View attachment 2836695