Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa

Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado

Swali

Je, muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani

Picha ya manabii hi hapa chini.

View attachment 2836696View attachment 2836695
Mimi mwenyewe nabii msisahau kutoa makokoto mpate baraka..

Ana swaga za dullah makabila
 
Walawi 19:28 NEN
“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi BWANA.
Sawa kuhusu chale a.k.a tattoo..

Pia hata kiduku ukinyoa inatakiwa utupwe nje..

Walawi 19:27
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.
 
Huyu ni Mkongo kabisa, Awilo Longomba ni mjomba wao. Babu yake aliwahi kupiga na bendi ya TP OK Jaz, na baba yake pia alikuwa mwanamuziki huko Kongo, bendi nimeisahau jina.

Kweli kabisa mkuu
 
Hayo ni enzi za Walawi kabla Yesu mkombozi wetu hajakufa msalabani. Pale Calvari yoooote yalikwisha.

Yesu hakuja kulivunja torati Bali kulitimiliza. Halafu kifo Cha Yesu Kristo msalabani sio ruhusa ya kufanya dhambi
 
Kuna movie moja aliwahi kuigiza marehemu KANUMBA NA RAMSEY NOAH huwa naitafakari nahisi hawa mitume na manabii wamecopy kutoka kwenye ile movie wanavuna tu pesa za sadaka wanaenda kuongeza makali Nigeria 🇳🇬 wanarudi kuzidi kufanya maajabu
 
Someni biblia muielewe.

Biblia hairuhusu dhambi. Halafu kitabuncha walawi ni special kwa watumishi. Maana Neno walawi maana yake watumishi wa madhabahu. Sasa watumishi wa madhabahu wamekatazwa kuchota tattoo. Tena tattoo kachora ameshaokoka.
 
Huyu jamaa ana pacha? Maana hao ma nabiiapacha kutoka kenya ndip waliomvuta masanja mkandamizaji kwenye uchungaji
Wote wale wale mkuu. Ilisemwa "Tutawatambua kwa matendo yao"
 
Alikuwa na mwenzake nadhani alishakufa.
Watakuwa ndio hawa, na kanumba nae alikuwa anakuja huku huku kwenye uchungaji wa mchongo, lifestyle ya hawa jamaa ndio ilimvuta masanja mpaka akaenda mlima wa moto maana walikUwa na session hapo
 
Kuna kizazi Cha walokole wa kuanzia miaka ya 2000 kupanda wabishi na wajuaji wao hata ushoga wanakubali na kulazimisha wengine. Na vimaswali vyao imeandikwa wapi kwenye Biblia. Na hili kizazi Cha wachora tattoo miaka ishirini ijayo kitakiwa ndio kimeliua kanisa. Nawapenda Waislamu waliyoweka discipline kwenye misikiti yao, sio sisi shoga anaitwa Nabii.
Ilimuona akifanya ushoga,hizo tattoo alizichora akiwa tayari ameokoka au kabla hajaokoka? na je tattoo ikishachorwa huwa inafurika? Na kama wewe humkubali unaonaje ukikaa kimya uwaache wanapokubali waendelee kusikiliza mahubiri yake?
 
Kuna kizazi Cha walokole wa kuanzia miaka ya 2000 kupanda wabishi na wajuaji wao hata ushoga wanakubali na kulazimisha wengine. Na vimaswali vyao imeandikwa wapi kwenye Biblia. Na hili kizazi Cha wachora tattoo miaka ishirini ijayo kitakiwa ndio kimeliua kanisa. Nawapenda Waislamu waliyoweka discipline kwenye misikiti yao, sio sisi shoga anaitwa Nabii.
Hizo dini za vitabu, makanisa, misikiti na mengine mengine tu mnayoamini sasa yamekuja Africa hata miaka 500 haifiki, na Africa imekuwepo for thousands of years na walikuwa Wana Imani zako na walikuwa Wana Manisha yao, Leo Africans mnajifanya mnajua Bible na misikiti kuliko aliyewaletea, na nani aliwaambia mungu hapendi hao wapiga tattoo na mashoga, Africans ndio maana Kila mtu anawadharau tuu
 
Back
Top Bottom