Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

Mjadala upo amejadiliwa sana huyu nabii, wanasema ni mzimbabwe na jinsi alivyo ni utamaduni wa wandebele kuwa hivyo wala haishangazi. Sisi watanzania kwa imani yetu hatukubaliani na muonekano wake tunamuona kama wakala wa shetani. Avae haiba inayoendana na mila na desturi za kikristo, bora hata angevaa kanzu na kuachia madevu
Chini kapiga kinjunga cha hatari
 
Sasa hukmu ya huyu alikwisha jichora ni ipi ?

Lkn pia naomba unielekeze utaratibu wa kuwa nabii ukristo unakuaje kuaje.

Maana kusema ukweli mnao manabii na mitume wengi sana. Kila kona utaskia nabii na mtume fulani.
Naomba nitoe tongo za macho ndugu yangu
Wapo manabii kwenye biblia kabla hawampokea kristo huko nyuma maisha yao hayakumpendeza Mungu
Mfano musa aliua kule misri lakini baada ya kuteuliwa yeye ndio alipewa agano la amri kumi za Mungu na aliendelea kuishi maisha yakumpendeza Mungu baada ya kuitwa kwenye wokovu

Mtume paulo aliuwa watu wengi alimpompokea kristo aliishi maisha ya kumpendeza Mungu mpaka kifo chake

Je huyu nabii kwa huo muonekano wake vipi
 
Samahan kdg mkuu ila bado sijaridhika naomba unipe zile taratibu au labda niseme requirements za mtu kuteuliwa kuwa Nabii katik Ukristo ni zipi ? Au wanajiamulia wenyew ?
Au wanasomea chuoni na kupewa Unabii, mwenye anaelew na ameelewa swali langu naomba anijibu.

Coz saiz manabii wamekua wengi mnooo, wengi sana.

Tukishajua requirement za mtu kua nabii kwa mujib wa biblia nd tutajua fulani ni nabii au sio nabii wa kweli.

Nawasilisha.
 
Mndebele ni yule Prophet Java. Huyu ni mkongomani mixer na mkenya.
Huyu ni Mkongo kabisa, Awilo Longomba ni mjomba wao. Babu yake aliwahi kupiga na bendi ya TP OK Jaz, na baba yake pia alikuwa mwanamuziki huko Kongo, bendi nimeisahau jina.
 
Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa

Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado

Swali

Je muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani

Picha ya manabii hi hapa chini.

View attachment 2836696View attachment 2836695
Screenshot_20231208-194809_Chrome.jpg
 
Ndugu zetu wakiristo huwa wapesi wa kuhadaika na watu kama hawa. Utaona wanapanga foleni kwenda kwa mchora totto. Waislam upuuzi kama huu hawanao. Eti nabii. Nabii gani wa kipindi hichi? Nabii alikuwa Issa (Yesu)
 
Back
Top Bottom