dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Iko HV nimepita pita mtandao fln na kuona picha ya kijana anasemekana Ni nabii na akiwa amejichora tattoo mikono yote na kutoboa sikio na haitoshi akasuka na Rasta kbsa
Taarifa isiyo rasmi inasemekana atakuwepo hapo leader club kufanya maombi na nabii sijui clear malisaa sijajuwa Bado
Swali
Je, muonekana wa mtu Haina shida kwenye imani au dini ,kweli kuchora tatooo inakubalika wapi ktk kanisa gani
Picha ya manabii hi hapa chini.
View attachment 2836695