Huyu mzee yuko wapi,alivuma sana.

Watu walikufa sana polini maana walikuwa ni Wagonjwa haswa...

Nasikia hadi Mzee Madiba alitua na Helicopter ya Jeshi la South... the issue huyo babu alitaka amchotee mwenye kikombe mgonjwa na wala asiruke foleni
 
ali
Alimtumikia Mungu maisha yake yote kwa uaminifu mkuu na Mungu akaamua kumpa kiinua mgongo chake tena cha ukwli
alipingwa vikali sana na watumishi. ila Mungu ana siri nyingi sana.. Yeye aliyekuwepo na yupo na atakayekuwepo
 
Wana CCM ndo walikuwa wanapishana,nahisi walitaka awe baba wa Taifa,na walishampa kadi ya uanachama
 
Hivi bado huduma yake inaendelea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…