Huyu mzee vipi?

Utoto Raha sana yaani 😂😂😂
Ngoja ufikishe miaka 27 na kuendelea sidhani kama utakuwa unaleta nyuzi za kitoto kama hizi
 
Wanaume wezangu si mmeona hawa viumbe tunaowapenda walivyo

Sema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie
 
Kubali tuu, mpe yote akitaka na mku... Mpe tu
 
Wewe ushafika
Endelea kujifurahisha tu mdogo wangu, nakushauri anza kujipenda Mwenyewe kwanza na wengine watakupenda tu. Usitafute attention za watu humu hasa kuhusu mambo ya mahusiano na mapenzi. Kama kweli unapata bahati kama hizo usizitangaze Kuna Dada zako wengi wanazitafuta kwa udi na uvumba ujue 🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…