Huyu mzee vipi?

Age difference ya 20 ndiyo inakushtua? Mama Karume anakuambia aliolewa akiwa 15 japo hajui umri wa mumewe ila anasema huena alikuwa kwenye 40+

Heee weee
 
Punguza kujiendesha mdogo wangu be true
Juzi ulikuwa unaomba ushauri hapa

Leo tena unakuja kivingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Si unaona nimetanguliza juu kwamba tuna miezi 6 na sijui kama atania au la

Sasa kama sio mume hajaleta mahari kwanini nizibe milango kwa watu wenye nia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…